Tafsiri kwa Picha!

Mbu

JF-Expert Member
Jan 11, 2007
12,753
7,839
B727BC716FD04E47924BEF51C07DD15A.ashx

...If walls could talk!....

Picha hii inakupa ujumbe gani?
Nawe badilika unapokuwa 'umelala' na mwenzio!
 
Demu hajafikishwaaaaaaaaaa

...ha ha ha,...haya bana. Kimtizamo upo zaidi kwenye 'kilimo kwanza.'
Sawa sawa.

Nawasubiria wang'amuzi wengine wenye perceptions na judgments za hapo kwa papo.
 
dada anaumwa siku hiyo jamani ...............lakini bwana kachoka kazini hapendi kumsumbua
 
Mbu... huachi asili mkuu, thanks... Naona hivi\

Kwa jamaa

  • he is already satisfied and sleeping, ila sijui kapatia hapo au la
  • he is peaceful and care less about whatever is around
  • he is handsome and well built

For the lady

  • she is cute
  • looks stressed and not happy
  • she could be thinking about something or someone who/which is not there
Overall... Jamaa wanaishi kwenye Porsche life full of bedding proper

Hii ni common scenario hasa kwa sisi watu wa mitungi... dah, nabadilika aisee
 
dada anaumwa siku hiyo jamani ...............lakini bwana kachoka kazini hapendi kumsumbua

...pheeeeeeeewww! ....us'take kusingizia eti ana 'malaria!'
 
Kama vile anamwaza yule wa pembeni loh!! Ama kweli if only walls could talk.

...ha ha ha!,
there you go! That was the first thought which crossed my mind, ila nilipomwangalia mikono yake alivyojikunyata nikaona mnh!? Hapana!...
 
Mbu... huachi asili mkuu, thanks... Naona hivi\

Kwa jamaa

  • he is already satisfied and sleeping, ila sijui kapatia hapo au la
  • he is peaceful and care less about whatever is around
  • he is handsome and well built

For the lady

  • she is cute
  • looks stressed and not happy
  • she could be thinking about something or someone who/which is not there
Overall... Jamaa wanaishi kwenye Porsche life full of bedding proper

Hii ni common scenario hasa kwa sisi watu wa mitungi... dah, nabadilika aisee

ha ha ha!,
Mungu ashukuriwe sana tu iwapo picha hii imekushawishi kubadilika ulalavyo na shemeji.
Yeah, the lady looks stressed sana tu...

Mbaya zaidi (mrembo) ana avoid any physical contact na huyo bro hapo.
Inafanana na "Sleeping with the 'enemy'('?)"

huyu dada she wants something ila huyu jamaa amelala he don even care yaani mdada anatamani japo ata kushikwa kidooogo ila jamaa amechoka
 
tatizo mkuu unaweza kujipendekeza ushike ukapigwa kipepsi... si unaukumbuka ule mwimbo wa makasi junior??

The lady is really playing out of position
 
huyu dada she wants something ila huyu jamaa amelala he don even care yaani mdada anatamani japo ata kushikwa kidooogo ila jamaa amechoka

...lack of communication? lack of intimacy?...
sawa sawa kabisa...(huenda upo right) ila iwapo yeye kageukia 'ukutani' -----ki 'mugongo mugongo'
Mwanaume atajuaje?...
 
tatizo mkuu unaweza kujipendekeza ushike ukapigwa kipepsi... si unaukumbuka ule mwimbo wa makasi junior??

The lady is really playing out of position

ha ha ha, aisee una uzoefu wa kutosha!!! ha ha haaa!
Nami nimeshtukia bibie hapa anatoa msg ya ..."Mind the gap and my space!"
 
huyu dada she wants something ila huyu jamaa amelala he don even care yaani mdada anatamani japo ata kushikwa kidooogo ila jamaa amechoka

...msome ACID bana, ndio nyie mnaopigwa "vipepsi!" ha ha ha...
natamani niwasome zaidi kina dada hapa...

Maybe we read you wrong jamani 'mnapotuletea madeko' kama huyu mdada pichani...
 
huyu dada mbu kaa haumwi na 'malaria' basi atakuwa ana stress za kufa mtu.

zile stress za mtu akikutizama tu unaona keshakukera let alone ajaribu kukuzungumzisha au kukugusa.

na mara nyingi stress za hivyo chanzo kinakuwa mtu wa karibu ......(alolala pembeni?)
 
Mh! Si Preta huyu? Anyway, ni kama anatamani ile kitu roho inapenda lakini mshikaji ndo vile na anashindwa amuanze vipi lakini vile vile ni kama anamuwaza wa pembeni vile. Ana siri nzito sana moyoni mwake namwonea huruma.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom