KAKA A TAIFA JF-Expert Member Apr 27, 2011 566 80 Aug 15, 2011 #1 WENZETU WAZUNGU WANATUMIA MUDA NA PESA NYINGI KATIKA KUFANYA TAFITI AMBAZO NYIGI HUSAIDIA KATIKA MAMBO GUNDUZI MBALIMBALI
WENZETU WAZUNGU WANATUMIA MUDA NA PESA NYINGI KATIKA KUFANYA TAFITI AMBAZO NYIGI HUSAIDIA KATIKA MAMBO GUNDUZI MBALIMBALI
Kinyerezi JF-Expert Member Jan 28, 2009 485 148 Aug 15, 2011 #2 Bongo hata tufanye, nani atazisoma....
Xkalinga JF-Expert Member Sep 10, 2010 476 316 Aug 15, 2011 #3 sisi tumelala usingizi wa pono,klow kloo
M Msharika JF-Expert Member May 15, 2009 947 69 Aug 15, 2011 #4 Kinyerezi said: Bongo hata tufanye, nani atazisoma.... Click to expand... Hapo penye RED, inaonyesha ulivyomvivu, watanzania wanaandika sana na wanasoma sana ila watekelezaji ndio wanamtindio wa mawazo.
Kinyerezi said: Bongo hata tufanye, nani atazisoma.... Click to expand... Hapo penye RED, inaonyesha ulivyomvivu, watanzania wanaandika sana na wanasoma sana ila watekelezaji ndio wanamtindio wa mawazo.
wende JF-Expert Member Sep 6, 2009 714 65 Aug 16, 2011 #5 ..tafiti zinafanywa japo kwa personal interest but nani ana muda wa kuzisoma??? WaTZ wengi hatuna utamaduni wa kuzisoma tafiti za watalaam wetu!
..tafiti zinafanywa japo kwa personal interest but nani ana muda wa kuzisoma??? WaTZ wengi hatuna utamaduni wa kuzisoma tafiti za watalaam wetu!