TAFITI: Watu wafupi wana wivu, gubu na ni wagomvi tofauti na watu warefu, lakini...

Mzee, i was just taking a mickey of the statement... najua sina height hiyo na naomba unisamehe sirudii tena!!!

...wewe naona haujawahi pata kipigo kutoka kwa mtu unayemzidi kimo cha urefu!!
 
Pengine ungehamia kwenye misitu ya Kongo! Kule ungepewa uchifu kwa sababu ungeonekana jayant! Ufupi ni relative na uko mwachoni mwa mwangaliaji. Kama unavaa shati S bongo ulaya utavaa XS na Indochina XL!

Angalia mke wa Sarkozy anavyomzimia mume wake ingawa amemzidi kwa zaidi ya inchi sita!

Tatizo ni ufupi wa ubongo na si huo unaozungumziwa hapa!

Amandla......

..ha ha ha ha, wewe Fundi haya bana... yaani umeshindwa kabisa kujizuia!! lol
 
Kwani ufupi ni nini? Mtu mfupi/mrefu ana futi ngapi?

......Ukiwa Tanzania unaweza ukadhani wewe ni 'tolu' lakini ukienda marekani ukajikuta wewe ni 'kishotii' fulani hivi!

......Nyumbani kwako unaweza ukawa wewe ndio tolu lakini ukienda kazini wewe ndo mfupi kuliko wote!

Law of relativity?!
 
..ha ha ha ha, wewe Fundi haya bana... yaani umeshindwa kabisa kujizuia!! lol

Lazima nitetee wafupi wenzangu. Wengine tunafika futi tano tukivaa raizoni! Halafu watu warefu kwa roho mbaya wakazifuta ingawa mimi na mwenzangu Prince, raizoni kama kazi!

Amandla........
 
Ufupi na U-mbilikimo na uki-jeba ni vitu tofauti, nakubaliana na wote mnaosema hata mimi mtoa mada ni mfupi ....ni kweli ila sio mbilikimo. Nimetoa hii mada kwa vile ya mambo ambayo nayasikia nilijua humu jamvini kuna wasomi nawachangiaji wengi ambao wana ufahamu mpana wa kuchangia mambo kama sychologist etc. So plz toeni ushauri na sio kunigandamiza na mimi.....kwenye jamii ynagu walionizunguka kuna wafupi lakini kwa 100% sio wote wana tabia hizo wanazosema au kudai watu....
 
Mi mwenyewe kwa kawaida ya watanzania tulivyo ni mfupi ki-mtindo, inasumbua flani hasa pale watoto wadogo uliokuwa umewazidi wakati wakiwa wadogo ghafla wanarefuka kukupita.

So mazee kuzidiwa kimo na watu wengi huwa inasumbua na inaleta desire ya kufanya vitu ili uonekane important and above everyone else.
 
mi mwenyewe kwa kawaida ya watanzania tulivyo ni mfupi ki-mtindo, inasumbua flani hasa pale watoto wadogo uliokuwa umewazidi wakati wakiwa wadogo ghafla wanarefuka kukupita.

So mazee kuzidiwa kimo na watu wengi huwa inasumbua na inaleta desire ya kufanya vitu ili uonekane important and above everyone else.

now ur talking
 
now ur talking
Heshima mbele wakuuuu NO OFFENCE ni mawazo yangu tuu.

well Nguli hiii mada ni very sensitive na kwasababu watu hatujuani humu inaweza kuwa unawalenga watu kuliko unavyofikiria na usidhani hao wafupi watakusupport lazima watakandia, but ngoja nikwambie kitu kimoja na uzoefu wa maisha yanayonizunguka kaka yangu ni mfupi peke yake kwenye kuzaliwa na wengine wote warefu lakini ukweli ni kwamba hakuna msumbufu kama yeye tunamwita mzee wa promo maana anapenda kujitukuza ile mbaya na saa nyingine unaweza kumkosea ukaomba msamaha lakini akayakuza mambo na kuhusisha na ufupi wapi ''huo urefu wako ndio unaona ni mkubwa kushinda mimi kiasi cha kunivunjia heshima '' kumbe mtu amemkosea kama amabavyo angemkosea mwingine yeyote awe mrefu au mfupi but yeye huwa anatake it personal sana.

lakini nikija upande wa pili ni kwamba wanaume wafupi ndio wanamatatizo kuliko wanawake wafupi huo ndio ukweli ukitaka kujua kama ni kweli angalia wanaokuzunguka maofisini nyumbani sehemu za kustarehe kisha anza kuchunguza utaona utofauti wao JAPO SI WOTE coz mie nasemea ninaowajua inawezekana wapo wengine hawana hayo ila mhhhhhhh.....
 
Ufupi siyo tatizo. Tatizo liko kwa wafupi wenyewe, yaani kichwani. Hawa jamaa kichwani mwao huwa wanafikiri - japo kimakosa - kwamba watu wanawadharau kwa sababu ya kutorefuka kwao. Kwa hiyo wanakuwa na aina ya inferiority complex mbele ya wengine. Ili kuishinda hiyo hali lazima kwa kila hali wajioneshe na kutamba kwa kila jambo. Hii ni kutaka ku-compensate kile wanachodhani wamepungukiwa. Ndiyo maana wengi wao ni wakali, hawakubali kushindwa kwenye majadiliano, hawapendi sana kukosolewa, wanakasirika upesi, nk.
 
Wakuu ufupi ni tatizo? je ni kweli umeambatana na matatizo mengi ikiwemo kutokujiamini na kero nyinginezo? inasemakana wanapenda watambulike sehemu yeyote kuwa wapo, kwa vile ni wafupi inabidi waongee sanaaa, au wajipitishe mbele either mkutano au darasani. Nasikia kama bosi wako ni mfupi ni balaa mpaka mkubaliane kitu katika utendaji inakuwa ngumu sana....zote hizo ni tetesi kama kuna mkuu mwenye DATA mwaga hapa nipate kufunguka akili.....

Mchango wangu uko zaidi hapo na sio kwingineko. Watu wa asili waishio katika tao la mashariki ie Eastern Arc Mountains kuanzia milima ya pare, usambara (mashariki na magharibi), nguu, nguru, uluguru na udzungwa kwa wastani ni wafupi. Hii zaidi ni mambo ya interaction ya genetic-make up + environmental factors.

Kuhusu association ya ufupi wao na matatizo mengine (hasa social) hiyo sio kweli......
 
Wakuu ufupi ni tatizo? je ni kweli umeambatana na matatizo mengi ikiwemo kutokujiamini na kero nyinginezo? inasemakana wanapenda watambulike sehemu yeyote kuwa wapo, kwa vile ni wafupi inabidi waongee sanaaa, au wajipitishe mbele either mkutano au darasani. Nasikia kama bosi wako ni mfupi ni balaa mpaka mkubaliane kitu katika utendaji inakuwa ngumu sana....zote hizo ni tetesi kama kuna mkuu mwenye DATA mwaga hapa nipate kufunguka akili.....

Unaposema mfupi unatoa reference kwa nani? Au kuna kipimo cha ufupi? Mtu ili awe mfupi anatakiwa awe na urefu wa kiasi gani? Kama tutamia referece ya mtu basi kila mtu ni mfupi ukilinganisha na mwenzake! Mfano wewe ni mfupi tukikulinganisha n a hasheem Thabit! Vip na wewe una matatizo ofisini? hhahahaa ha ha ha haaaa!
Naomba kipimo cha ufupi plz otherwise jipange upya mkuu!
 
Wakuu ufupi ni tatizo? je ni kweli umeambatana na matatizo mengi ikiwemo kutokujiamini na kero nyinginezo? inasemakana wanapenda watambulike sehemu yeyote kuwa wapo, kwa vile ni wafupi inabidi waongee sanaaa, au wajipitishe mbele either mkutano au darasani. Nasikia kama bosi wako ni mfupi ni balaa mpaka mkubaliane kitu katika utendaji inakuwa ngumu sana....zote hizo ni tetesi kama kuna mkuu mwenye DATA mwaga hapa nipate kufunguka akili.....

Unaposema mfupi unatoa reference kwa nani? Au kuna kipimo cha ufupi? Mtu ili awe mfupi anatakiwa awe na urefu wa kiasi gani? Kama tutatumia reference ya mtu basi kila mtu ni mfupi ukilinganisha na mwenzake! Mfano wewe ni mfupi tukikulinganisha na hasheem Thabit! Vip na wewe una matatizo ofisini? hhahahaa ha ha ha haaaa!
Naomba kipimo cha ufupi plz otherwise jipange upya mkuu!
 
Ufupi siyo tatizo. Tatizo liko kwa wafupi wenyewe, yaani kichwani. Hawa jamaa kichwani mwao huwa wanafikiri - japo kimakosa - kwamba watu wanawadharau kwa sababu ya kutorefuka kwao. Kwa hiyo wanakuwa na aina ya inferiority complex mbele ya wengine. Ili kuishinda hiyo hali lazima kwa kila hali wajioneshe na kutamba kwa kila jambo. Hii ni kutaka ku-compensate kile wanachodhani wamepungukiwa. Ndiyo maana wengi wao ni wakali, hawakubali kushindwa kwenye majadiliano, hawapendi sana kukosolewa, wanakasirika upesi, nk.
swadaktaaa..........................
 
Hivi jamani sisi watu wafupi tumekuwa ni kero sana kwa binadamu wenzetu kiasi cha kuwa ni topic ya ku-discuss katika JF? lakini naomba niungane na wadau waliouliza- what is a reference NORMAL height for human being?, from which a positive or negative deviation clearly defines a short or tall stature.
 
Hakika ufupi na urefu unategemea mazingira mtu alipo. Mtu anajiona mfupi mfupi au anaonwa mfupi anapolinganishwa na wengi wanaomzunguka katika mazingira yake. Kipimo ni mazingira yake na hukumu ya wanajamii wa pale. Kumbe hata kati ya mbilikimo wa Kongo kati yao wenyewe wapo warefu - kwa vipimo vyao - na wafupi.

Kwa hiyo, kadiri ya mazingira, mtu anajitambua kwamba ni mfupi akijilinganisha na wenzake. Anapokuwa na awareness hii kinachofuata: ama ni kujikubali vizuri na kuupokea ufupi wake kama neema na si kasoro, au anaweza kujisikia ni kasoro - wakati kiukweli sivyo - na akaanza mashida yaliyosemwa hapo juu. Kumbe si kila mfupi wa mazingira yake ni mkorofi. Wapo pia wengi wema tu na wasio na inferiority complex. Kumbe ufupi si tatizo. tatizo liko kichwani mwa hao wanaojisikia wafupi au wanaosadikishwa kwamba ni wafupi na kupokea vibaya ushawishi huo.
 
Unaposema mfupi unatoa reference kwa nani? Au kuna kipimo cha ufupi? Mtu ili awe mfupi anatakiwa awe na urefu wa kiasi gani? Kama tutatumia reference ya mtu basi kila mtu ni mfupi ukilinganisha na mwenzake! Mfano wewe ni mfupi tukikulinganisha na hasheem Thabit! Vip na wewe una matatizo ofisini? hhahahaa ha ha ha haaaa!
Naomba kipimo cha ufupi plz otherwise jipange upya mkuu!

Nguli tusaidie ufupi unaanzia futi ngapi au cm ngapi ndo tuendelee na hii mada kwa kuwa ufupi wa kitu lazima uwe na reference ya kitu kingine.

Plz nisaidie ufupi maana yake nini hasa kwa binadamu?na unaanzia futi ngapi kuhitimisha kuwa huyu ni mfupi?
 
Hivi jamani sisi watu wafupi tumekuwa ni kero sana kwa binadamu wenzetu kiasi cha kuwa ni topic ya ku-discuss katika JF? lakini naomba niungane na wadau waliouliza- what is a reference NORMAL height for human being?, from which a positive or negative deviation clearly defines a short or tall stature.
Pole sana ndugu! Umenivunja mbavu mpaka sina hali. Iiiiiii, mweee! pole bwana. Li mada lenyewe limekuja saiti yako. ndo maisha mpendwa. usiumie. itakusaidia kujijua na kujipokea, na kujitawala. utakuwa na afya tele.
 
Unaposema mfupi unatoa reference kwa nani? Au kuna kipimo cha ufupi? Mtu ili awe mfupi anatakiwa awe na urefu wa kiasi gani? Kama tutatumia reference ya mtu basi kila mtu ni mfupi ukilinganisha na mwenzake! Mfano wewe ni mfupi tukikulinganisha na hasheem Thabit! Vip na wewe una matatizo ofisini? hhahahaa ha ha ha haaaa!
Naomba kipimo cha ufupi plz otherwise jipange upya mkuu!

Kweli mkuu, ila reference kidogo ngumu siunajua asira za watu kama sisi ni kali sana....hata michango mingine inavyotoka hapa I doubt.....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom