Tafakuri yangu ya Leo…..Joseph Msami wa TBC aombe radhi

Katika taarifa ya habari ya jana saa mbili usiku mwandishi wa habari mzoefu wa TBC Joseph Msami alisema... "vurugu za CHADEMA huko Arusha"... katika moja ya taarifa aliyoisoma
Sasa nikawa nasubiri kumsikia labda ataomba radhi kwa matamshi yake hayo ambayo kwa kujua au kutojua kwake yamemfanya kuonekana anatumiwa kisiasa kwa maana katika kipindi hiki kigumu cha mitafaruku ya kisiasa tunachopitia kama taifa hasa baada ya kile kilichotokea Arusha ni busara kuwa wa kweli na kujikita zaidi katika kutafuta amani na kuchukua tahadhari ili hali kama ile isijitokeze tena hivyo Joseph Msami kama mwanahabari mzoefu hakupaswa kusema alivyosema heri angetumia neno vurugu za kisiasa , hivyo nachukua nafasi hii kama mpenda amani wa taifa kumtaka Joseph Msami ajitokeze hadharani na aombe radhi kwa matamshi yake ya jana.

Habari na Nova Kambota
Mzumbe university Morogoro
0717 709618 au 0766 730256

Ndugu yangu tbsisiem hawaombagi radhi hata wakifanya rafu ya wazi wao ni ubabe ubabe
 
'Umetuaibisha' na sio hivyo ulivyoandika wewe, sasa nahisi na wewe pia umewaaibisha wasomi wenzio waliopita pale Mzumbe

Huko tuendako KISWAHILI kitakuwa kigumu sana na pengine tutashindwa kabisa kuelewana.Mbaya zaidi wengine ni Graduates kiswahili kinawashinda.shule za kata noma!
 
Back
Top Bottom