Tafakuri nzito-igunga lengo ni nini?

CERDIC

Member
Oct 3, 2011
16
0
Hali inayoendelea igunga hadi sasa ni kweli wananchi na wenye maslahi na uchaguzi huo wanashindania kushinda na kupata ubunge kwa KAFUMU au KASHINDYE au MAHONA? Au kuna lazaidi? mi nadhani sio tu hao wagombea wapate ubunge.

Mtizamo: VYAMA VYA SIASA HASA CCM NA CHADEMA WANATAKA KUOSHA MAJINA YA VYAMA VYAO MBELE YA ULIMWENGU WA KISIASA.

Msituchafulie amani yetu kwa maslahi yasiyo ya wanaigunga

Watch out
 
Ama! Any way ni mtazamo!
 
Back
Top Bottom