Tafakuri juu ya picha ya Habari Leo na hatma ya Ikulu yetu

Mbona hukuuliza uhalali wa rais kutangaza siku tatu za maombolezo???
Watoa misaada walimuona rais akiwa ameguswa na kutangaza maombolezo hivyo wakaona ni busara kumfariji kwa kutoa kwa wafiwa kupitia kwake, sioni cha kuanza kuhoji hapo........labda kama msaada hautafika hapo ndipo uhoji.

Mkuu ukinisoma vyema, nimesema tutafakari tu pamoja, wala sijasema mambo ya legality wala illegality. Nisome vyema mkuu, tunaweza kuwa pamoja tu kaka. Lakini wapo kibao walioguswa na wakapeleka msaada wao wa hali na mali huko huko. Zikiwemo serikali za mataifa mbalimbali.
 
tb joshua ajitangaze bongo kupitia ikulu daaaaaaah. niliangalia ile misa yote hakuna sehemu tb joshua alisema lowassa atakuwa rais wa tz ni uzushi mtupu na huwa inarudiwa mara kibao tu emmanuel tv. Hilo la kutoa msaada ikulu na kuingia ikulu awamu hii ni juhudi zako tu mwenyewe wala usilalamike km hujaweza ingia huko usipike majungu JK hana hiana na ile nyumba ni ya wa TZ wote! so mkuu fanya research kwanza kabla hujaandika kitu TB Joshua and his ministries is larger than haka ka ikulu kenu ka bongo so kujitangaza eti kupitia huko ni kichekesho. hii yote inaonekana una chuki mbayaaaa tena mbayaaa na LOWASSA.

Brother naona umekuja na conclusions kibao bila inferences hata moja. Vibaya hivyo. Nimenukuu media reporting juu ya hiyo issue ya misa, Joshua na kilichosemwa juu ya Lowassa. Uzuri ni kwamba wahusika wote akiwemo Shellukindo hawajawahi kukanusha hizo taarifa za media. Lakini pia sijui unatumia vigezo gani kulinganisha hiyo Ministry ya Joshua na IKULU yetu, dah! I cant argue on that unless nijue tuna compare namna gani! On Lowassa, napenda nikwambie sina hiyana wala kinyongo na huyo bwana. Amepewa nafasi mara kadhaa ameonesha uwezo wake, unajulikana hivyo unakumbukwa. Ninao msimamo chanya juu ya utendaji kazi wake katika masuala mbalimbali. Lakini pia ninao msimamo hasi juu ya masuala kadhaa ambayo hayawahi kupata majibu yanayoeleweka juu yake. Lakini hilo si mjadala hapa leo. Thanx bro. Pamoja sana
 
Kiutendaji Lowasa yupo fiti na anauwezo kusimamia maamuzi yake. nadhani Pinda angekua na uwezo huo leo hii tusingeona serikali ikiendelea kununua V8 wala sukari isingeuzwa kimagendo. Rais ni taasisi, nizaidi ya Jina la aliyemadarakani sioni sababu yakuita waandishi wampige picha na kuziweka kwenye gazeti. Nivizuri kutafakari
 
Sijaona kosa Kwa Msaada Kupokelewa na Jk, Ungeanzisha hii thread wakati JK amehairisha safari ya Italy Kutokana na ajali Mv Spice tungekuelewa vizuri kuwa hii hajali ilikuwa ni ya watu wa Zanzibar yao. Tuache ushabiki wa kisiasa kuleta chuki zisizo jenga.
 
Kwangu mimi nahoji ni kwa nini zilipelekwa cash ikulu!?
Sheria ya money laundering haijakiukwa hapa?
Mtoa msaada lishindwa nini kutumia cheque?
Je ni kweli fedha hizi zitafika kwa walengwa huko Zenji?
Mbona wote waliohusika na kupokea misaada ya mabomu ya Gongo la Mboto hivi sasa wanainua magorofa DSM?
Jamani tuwe macho na matumizi ya Ikulu yetu, na pia matumizi ya maafa katika kunufuaisha watu binafsi.

usiwe na wiv hata ww unaweza kuomba kwenda kumwona jk just appointment na dhamira njema inahitajika..watu hawafanani nyerere na kikwete ni watu tofaut kabisa coz jk anapenda kuji socialize na watu
 
tb joshua ajitangaze bongo kupitia ikulu daaaaaaah. niliangalia ile misa yote hakuna sehemu tb joshua alisema lowassa atakuwa rais wa tz ni uzushi mtupu na huwa inarudiwa mara kibao tu emmanuel tv. Hilo la kutoa msaada ikulu na kuingia ikulu awamu hii ni juhudi zako tu mwenyewe wala usilalamike km hujaweza ingia huko usipike majungu JK hana hiana na ile nyumba ni ya wa TZ wote! so mkuu fanya research kwanza kabla hujaandika kitu TB Joshua and his ministries is larger than haka ka ikulu kenu ka bongo so kujitangaza eti kupitia huko ni kichekesho. hii yote inaonekana una chuki mbayaaaa tena mbayaaa na LOWASSA.

Nakuunga mkono mkuu,Ministry ya TB Joshua haiwezi kuwa lobed na kaikula ka TZ.mi naona wametoa msaada kupitia mkuu wa nchi kwani Zenj ni sehemu tu ya Tanzania na JK ni Rais wa Muungano.
Hawa jamaa (Emmanuel TV) wanatoa misaada duniani kote, nadhani ni busara kuwashukuru kwa utu wao huo,taasisi nyingine zinztoa michango mil 2 lakini jopo nla kupeleka michango na gharama zake ni zaidi ya mil 3! be blessed Emmauel TV
 
Nafikiri tunapaswa kuwa great thinkers ndio maana hata mtoa mada akasema TUTAFAKARI, "nafikiri kuna umuhimu wa kutafakari" sasa mtu unapokurupuka na kuanza kutoa maoni yako kishabiki ni ulimbukeni tu!

kumbuka kuna msemo unaosema TENDA WEMA UENDE ZAKO USINGOJE SHUKRANI kama nia ya TB JOSHUA ni kutenda wema kwa nini attract attention ya vyombo vya habari tena vya serikari na chama tawala?? Mh, tuache ushabiki tutafakari alafu ndo tutoe maoni. Wangapi wametoa msaada/rambirambi tena zaidi ya hizo 25M na hata hawaja taka hata kupigia simu RAIS?? SASA JE?? kwa nini TB J apeleke Ikulu tena mbele ya media?????????!!!!!!!!!! TUTAFAKARI.
 
hii ni CRAP. mleta mada inaelekea anamlengo fulan wa kidini, au inamuuma kuona misaada kapewa jk apeleke. jk alichaguliwa na wote so ni mwakilishi wa wananchi. uwe unafikiria kabla ya kuandika, umechanganya luga ili 2kuone gr8 thinker ama?
 
Wakuu nafikiri kuna umuhimu wa kufanya tafakari juu ya picha ya front page ya Gazeti la Habari Leo (state or public media?) toleo la leo. kuna picha pale na maelezo (caption) yafuatayo;

Mwakilishi wa Televisheni ya Emmanuel ya The Synagogue Church Of All Nations, Martha Harvey akimkabidhi Rais Jakaya Kikwete mkoba wenye Sh. milioni 25 kwa ajili ya waathirika wa ajali ya Meli ya Mv Spice Islanders iliyozama na kusababisha vifo vya mamia ya watu hivi karibuni. Mchango huo ulikabidhiwa Ikulu, Dar es Salaam jana, ulitolewa na Kiongozi wa Kanisa hilo, Nabii Themitope Balogun Joshua, ambaye anaishi makao makuu ya kanisa hilo, Lagos, Nigeria (Picha na Freddy Maro)

Few concerns to start with in loud thinking/brainstorming

1. Kwa nini huo msaada umekabidhiwa kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano, Ikulu, kulikuw ana ulazima sana wa msaada huo kukabidhiwa kwa rais? Mbona tumeona misaada mingi tu imepelekwa kwa hao waathirika ama moja kwa moja au kupitia kwa viongozi wengine waandamizi na wasiokuwa waandamizi huko huko Zanzibar. Kwangu mimi hata kama huo msaada ungepelekwa Zanzibar si lazima (si sahihi) kuukubadihi Ikulu kwa Dkt. Shein. Hapa inatafutwa attention, Je ni ya kitu gani? Think loud. Je Rais anajua hilo?

2.Another thing very important to brainstorm too ni juu ya MTOAJI MSAADA. Jamani huyo si ndiye aliyetajwa kuwa amemtabiria na kumwombea Edward Lowassa kuwa rais wa nchi hii. Tena ikaelezwa kuwa waziri mkuu huyo wa zamani amemtembelea huyo kiongozi wa kanisa hilo huko Lagos, mapema mwaka huu I think. Huyo si ndiye alikuwa akizungumzwa katika kile kimemo cha B. Shellukindo kwenda kwa Pindi Chana? Tehe tehe tehe, so sasa ametuma msaada Tanzania na umepokelewa na rais. Tehe tehe tehe! What is he trying to introduce here, his influence or his church? Kwa mgongo wa Ikulu na Rais?

3. La mwisho kwangu, nalo la muhimu sana kujadili ni aina ya watu ambao Rais amekuwa akikutana nao Ikulu yetu. Wengi wamekuwa wakitumia nafasi hiyo kujitangaza hivyo kumtumia rais wetu na IKULU YETU kwa matangazo na manufaa yao binafsi zaidi. I remember one of the very recent disgusting event ni ile ambayo Nizar Khalfan akiwa amevaa jeans, tena mlegezo nyuma, very informal, aliruhusiwa kuingia Ikulu, akapiga picha na rais kwa mkutano rasmi eti akimkabidhi jezi anayochezea katika klabu yake huko aliko! Haya bwana. Kuna mengi ya kujadili I think

Wasomi wangapi wakitanzania waliomaliza PhD au waliofanya vizuri dunia wamealikwa hapo ikulu?
 
siyoni tatizo lolote kwa upande wangu, ila kila mtu ana mtazamo wake,pia kama unamchukia mtu weka wazi kuwa fulani simpendi,kupokea msaada siyooni tatizo lolote kwa raisi kuupokea,msaada ni msaada maana mwenye kuutoa ndo mwenye maamuzi ni mpe nani,lowasa kwenda 9ja hilo ni jambo lakawaida kabisa ni uwezo wake umemwezesha kwenda,ndogo ndoto huna haja ya kuogopa utabiri hayo ni mambo ya kufikirika tu,hebu tu brainstorming kwa mambo yenye akili kidogo siyo haya
 
Wakuu mtoa thread ameomba "tafakari" hakumjudge prezidaa...yeye ameleta facts zake, in connection to the msaada kwenye picha. In fact mimi sioni ubaya wa nia ya mtoa msaada kwa watu waliopatwa na shida.

With a very open mind, i am getting a second thought on the matter though...

Time will tell. Maana nchi hii mambo mengi sana huwa yaanza kimzahamzaha baadae linapokuwa kubwa kuzidi tufani, ndo tunamiminika mitandaoni ku-criticize...

As I said time will tell...
 
Mh!! nakumbukwa wakati nasoma shule enzi zile za ukweli, walimu wa ukweli ambao hawajachakachuliwa na mikopo ya NMB na mituisheni, walimu haswa, ukikwanyuliwa kiboko, ukaenda hom unalia na Dingi nae anaongezea.. nisiende mbele zaidi.. Tulikuwa na Class Monitor, Mnoko na Mropokaji kupita maelezo.. kila anachokisikia Mtaani anakimwaga Darasani kama Inshu... UTASKIA.. OOoo karume kampiga Nyerere, mara oo eti nyerere kanunua ndege yake, mara oo kambona anatua kesho kumvaaa mwalimu, Halafu kila akiropoka, mlengwa lazima awe Mwalimu, sijui kulikuwa na shida gani kati ya Mendemkwa na Rais wetu that time. .. yaani jamaa alikuwa na matatizo ya problems kama ndugu yetu huyu ambaye anatumwagia mambo ya mtaani.. eti Mtu flan kamtabiria flan kuwa rais, ee mbona na mimi nimetabiri Igunga uchaguzi hautakuwepo.. lipi jipya, wakaniuliza kutakuwa na nini basi.. nikawajibu kutakuwa na Uchafuzi.. anyway hata wewe waweza tabiri tu..
Lowasa alienda kwa Insu zake binafsi na kama kungekuwa na Jipya then Lingejitokeza kwenye Ile service.. Ngoja nikupe ushauri mdogo.. Usisome Gazeti moja kila siku.. soma na Uhuru, usisikilize redio moja kila siku, kumbuka ze-RTD bado iko hewani, fungulia hata siku moja na usikilize ingawa itakuwa kama mwarobaini ila vumilia na sikiliza, unaweza kupata chochote.. SHABIKIA timu za Premium League- Uk Luningani, lakini lau siku moja moja njoo kwenye viwanja vya Vumbi, shuhudia kabumbu live kwa macho.. kiingilio miguu yako tu..
 
Hao wanigeria wanatafuta njia ya kuingilia kuja kufanya maovu nchini Tanzania. Hizo pesa alizopokea Kikwete ni pesa chafu.
Na sio kanisa lilotoa hizo pesa kama anavyodai muwasilishaji wa hizo pesa, Kwa sababu 'Synagogue Church Of All Nations'
ni kati ya aina ya Makanisa ambayo yapo chini ya jumuiya ya Philosophy za watu binafsi.
 
Tafakuri:

1. Sina hakika kama kuna kanisa au tawi la T.B Joshua hapa Tanzania. Yawezekana ametumia mbinu hiyo kupata publicity ili aweze kukita mizizi ya taasisi yake hapa nchini. Tusisahau dini imegeuka biashara kubwa sana duniani na hutumika kukwepea kodi.

2. Kupeleka fuko la fedha, hard cash, Ikulu ni jambo la ajabu. Hata hivyo yawezekana watendaji wanahofu ya kumuabisha rais pale tarakimu na maneno katika hundi ya public display yatakapotofautiana, kama ilivyowahi tokea huko nyuma.

3. Kupiga picha na wasanii au watu maarufu ni hobby ya JK, nadhani hatumtendei haki kumfuatilia saaana. Tunaweza kumbuka picha za Boyz II Men, 50 cent, Drogba, Kaka, Jezi ya C. Ronaldo, Nizar, Hasheem, nk nk. Hata hivyo iko haja ya mkuu wa kaya kuwa makini katika kuhakikisha hadhi ya IKULU inalindwa.

Wakuu nafikiri kuna umuhimu wa kufanya tafakari juu ya picha ya front page ya Gazeti la Habari Leo (state or public media?) toleo la leo. kuna picha pale na maelezo (caption) yafuatayo;

Mwakilishi wa Televisheni ya Emmanuel ya The Synagogue Church Of All Nations, Martha Harvey akimkabidhi Rais Jakaya Kikwete mkoba wenye Sh. milioni 25 kwa ajili ya waathirika wa ajali ya Meli ya Mv Spice Islanders iliyozama na kusababisha vifo vya mamia ya watu hivi karibuni. Mchango huo ulikabidhiwa Ikulu, Dar es Salaam jana, ulitolewa na Kiongozi wa Kanisa hilo, Nabii Themitope Balogun Joshua, ambaye anaishi makao makuu ya kanisa hilo, Lagos, Nigeria (Picha na Freddy Maro)

Few concerns to start with in loud thinking/brainstorming

1. Kwa nini huo msaada umekabidhiwa kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano, Ikulu, kulikuw ana ulazima sana wa msaada huo kukabidhiwa kwa rais? Mbona tumeona misaada mingi tu imepelekwa kwa hao waathirika ama moja kwa moja au kupitia kwa viongozi wengine waandamizi na wasiokuwa waandamizi huko huko Zanzibar. Kwangu mimi hata kama huo msaada ungepelekwa Zanzibar si lazima (si sahihi) kuukubadihi Ikulu kwa Dkt. Shein. Hapa inatafutwa attention, Je ni ya kitu gani? Think loud. Je Rais anajua hilo?

2.Another thing very important to brainstorm too ni juu ya MTOAJI MSAADA. Jamani huyo si ndiye aliyetajwa kuwa amemtabiria na kumwombea Edward Lowassa kuwa rais wa nchi hii. Tena ikaelezwa kuwa waziri mkuu huyo wa zamani amemtembelea huyo kiongozi wa kanisa hilo huko Lagos, mapema mwaka huu I think. Huyo si ndiye alikuwa akizungumzwa katika kile kimemo cha B. Shellukindo kwenda kwa Pindi Chana? Tehe tehe tehe, so sasa ametuma msaada Tanzania na umepokelewa na rais. Tehe tehe tehe! What is he trying to introduce here, his influence or his church? Kwa mgongo wa Ikulu na Rais?

3. La mwisho kwangu, nalo la muhimu sana kujadili ni aina ya watu ambao Rais amekuwa akikutana nao Ikulu yetu. Wengi wamekuwa wakitumia nafasi hiyo kujitangaza hivyo kumtumia rais wetu na IKULU YETU kwa matangazo na manufaa yao binafsi zaidi. I remember one of the very recent disgusting event ni ile ambayo Nizar Khalfan akiwa amevaa jeans, tena mlegezo nyuma, very informal, aliruhusiwa kuingia Ikulu, akapiga picha na rais kwa mkutano rasmi eti akimkabidhi jezi anayochezea katika klabu yake huko aliko! Haya bwana. Kuna mengi ya kujadili I think
 
Wakuu mtoa thread ameomba "tafakari" hakumjudge prezidaa...yeye ameleta facts zake, in connection to the msaada kwenye picha. In fact mimi sioni ubaya wa nia ya mtoa msaada kwa watu waliopatwa na shida.

With a very open mind, i am getting a second thought on the matter though...

Time will tell. Maana nchi hii mambo mengi sana huwa yaanza kimzahamzaha baadae linapokuwa kubwa kuzidi tufani, ndo tunamiminika mitandaoni ku-criticize...

As I said time will tell...

Mkuu nafikiri u have hit the nail on the head. That is what I was thinking, nikaona ngoja tushee hapa, nikasema TUTAFAKARI. Going beyond what is being said, what is said, what is seen. Trying to see and hear what is not spoken, told o written. Tuendelee
 
Labda wewe utwambie unayofikiria ilituyajadili na uyajengee hoja maana msaada kama msaada na wakati wa msiba huwezi kuchaguwa wa kukupa pole. Nadhani hata kama angekuwa ni adui wa nchni yetu kama angetuma mtu wake kutuletea msaada wa pole wakati wa msiba hisingelikuwa busara kuukataa.
 
Back
Top Bottom