Tafakari

kingfish

JF-Expert Member
Apr 15, 2011
571
159
Weka maneno yako hapa.
 

Attachments

  • taf.jpg
    taf.jpg
    30.8 KB · Views: 101
Alikuwa anatishia kujinyonga huyo hakuwa amekusudia, au huyo nyoka ndiyo mwokozi wake maana wanasema Mungu ana uwezo wa kutumia kitu chochote ili kumwokoa mtu kutoka kwenye janga fulani.
 
Alikuwa anatania kujiua... wakati nyoka kaja kamletea sumu amrahisishie yeye ndo anasepa..??!!
 
mnafiki kama wabunge wa sisiemu, kuunga mkono hoja 100 kwa 100 wakati maelezo yake yote yanapingana na hiyo 100 kwa 100
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom