Tafakari

kingfish

JF-Expert Member
Apr 15, 2011
571
159
Anawaza nini?
 

Attachments

  • thnk.gif
    thnk.gif
    452.7 KB · Views: 175
Mshkaji kachomoka asubuhi, hajalipia chumba wala kuacha hela ya taxi. Kaz kweli kweli!
 
Picha inaonesha;
1) Hapo ni kwake- Picha ya kabatini, taulo/scarf iliopo kwenye kiti, angalia kioo.
2) Ni asubuhi-Mwanga mkali zaidi dirishani.
3) Anatafuta mchumba/mume-Pete kidoleni
4) Anatafuta sehemu ya sehemu ya kwenda/safari/mtoko- Shingo inaonesha amechoshwa, kaboeka.
5) Vazi- Gauni lake ni la kumvutia mtu (evening gown)
6) Mguu kutingisha- Yupo tayari kuondoka (amesha pendeza) lakini hataki kwenda.

Picha inaonesha dada amechoshwa na mtu na hataki kwenda hiyo safari.

ps-Majibu tafadhali !?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom