Tafakari,chukua hatua

dally

Member
Nov 4, 2009
19
0
Nyumba_ya_masikini.jpg

Jamani naomba tafakari ya picha hii

MNYIKA.jpg

Sasa na hii ndio kiboko ya yote
 
Hiyo picha ya kwanza ndio hali ilivyo kwa baadhi ya vijiji nilivyowahi kuvitembelea siku za nyuma.Hawana muamko wala elimu na ndio maana CCM wanajua wazi kuwa wakiwaelimisha waTZ basi na wao kiama kimewafikia.Kwa Chadema hapo ndio kwa kufanyia kazi na kuweza kuwafikia watu hao.Lakini vilevile nina furaha kuona hali inavyoendelea maana jana niliwatembelea vijana fulani wanaoongeza elimu ya juu na wamekiri kuwa safari hii Dr Slaa amewabana hawa jamaa.Chadema kazeni buti safari bado ni ngumu japo utepe wa kumaliza mbio umeshaonekana lakini msilale hawa jamaa (CCM)hawaaminiki hata kidogo.
 
Back
Top Bottom