Tafakari..chukua hatua!

"What makes you rich is what you do after office hours!"

Nimekutana na huu ujumbe ukanipa mawazo sana!
Je, kuna ukweli ndani yake?
Tafakari...chukua hatua.
Alamsik....

After office hours mi nakunywa kwa kwenda mbele. Will that ever make me rich?
 
mh...una utani na wazee wa kusubiria foleni...corner bar na hongera bar.
 
After office hours mi nakunywa kwa kwenda mbele. Will that ever make me rich?

Hahah..it will NEVER...kwahiyo inabidi niongezee neno kwenye huo usemi i guess "...or poor."
 
mh...una utani na wazee wa kusubiria foleni...corner bar na hongera bar.

Wengine wakiwa huko ndo wanapata constructive ideas za kiuchumi. Somehow ni afadhali kuliko yule mwenye maisha ya Mstari mnyoofu...NYUMBANI - KAZINI, then KAZINI - NYUMBANI>
 
dah ni kweli aisee.....
Na najuta kufungua uzi wako..... Nimepata mawazo sana...

Hahah. BADILI TABIA, usijute maana kila jambo lina sababu yake. Mawazo hayo na yawe chachu ya maendeleo yako.
What do u do after office hours m dia!??
 
Last edited by a moderator:
After office hours mi nakunywa kwa kwenda mbele. Will that ever make me rich?

after office hrs ukirudi nyumbani na usiende pub una save hela hence havin more money ukienda pub u spend money.. maneno yana ukweli yake...wanawake after office hrs akienda shoppin/salon they spend money...
 
Je kama una bar yako....!!
Ukitoka kazini unaenda kunywa/kununua bia kwenye bar yako...!!!
Hapo ntakuwa tajiri sana eeeeeh....?
 
after office hrs ukirudi nyumbani na usiende pub una save hela hence havin more money ukienda pub u spend money.. maneno yana ukweli yake...wanawake after office hrs akienda shoppin/salon they spend money...

Umesahau tangazo la Coca? Waafrika Bilioni 1 dont bother kuhusu future, nikiwemo mimi.
 
after office hrs ukirudi nyumbani na usiende pub una save hela hence havin more money ukienda pub u spend money.. maneno yana ukweli yake...wanawake after office hrs akienda shoppin/salon they spend money...

Na wewe mtotowamjini unafanyaga nini after work...
 
Last edited by a moderator:
Hapana kaka,huyu si mama watoto ila ni mtu ninayemuheshimu kutokana na hiyo profession yake kwani hata mimi nilianzia huko na ndio maana umeona hapo nimetolea mfano wa yale yanayofanyika nje ya masomo ya darasani...

oooh sikuwa nimeona hilo neno MWALIMU..kumbe gfsonwin ni mwalimu!??
Ila siku hizi watoto hawaendi tena TUITION zinaitwa TUISHIENI...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom