tafadharini msinicheke..nitoeni ushamba

July Fourth

JF-Expert Member
May 2, 2012
2,240
794
je naweza badilisha RAM na GPU shader ya laptop?? tuseme kama nina ram 2gb nikaweka ya 5gb? itanikost sh. ngapi kwa makadirio(yaani kununua ram) na je gharama inaweza kuwa kubwa kulinganisha na kujipinda kununua kitu machine mupyaaaa? ni hayo tu..mabango yanaruhusiwa
 
gharama ya kununua ram haiwez kuzidi gharama ya laptop mpya. makadirio ya bei ni kuanzia 20000 na kuendelea kulingana na ukubwa wa ram
 
But cheki maximum ram ambayo comp yako inaweza kubeba. Usijinunulie tu isije kula kwako mkuu.
 
gpu shader ni the way gpu (graphics processing unit) {au kwa its common name: video card} hutoa display. in short, huwezi badiliza gpu shader ya video card, labda ubadilishe card nzima, na laptops huwezi badilisha gpu.

RAM unaweza weka maximum depending na motherboard ya PC yako. ila ujue kuwa 32bit windows haiwezi soma zaidi ya 4GB RAM, kama mashine yako inaweza kupitiliza zaidi ya 4GB, inabidi ubadilishe a windows naona hapo juu umesema ina 32bit, ila kwa matumizi ya kawaida, hata 3GB inatosha sana. ukitaka kujua maximum RAM PC yako inafaa kuwekwa, unatakiawa ujue MOBO yake (motherboard) au kwa urahisi, tembelea website ya laptop yako, huwa wana specify kila model max capacity yake ni ngapi
 
Kwanza "tafdharini" pekee inafaaa uchekwe, ikiwa hujui hata Kiswahili hayo ya RAM na singh utayajuwa?
 
Back
Top Bottom