Boniface Evarist
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 1,147
- 512
jaman sidhani kama ndo hivyo watoto hawa as malaika vile!Doga anaimbisha dem swaga za malovedove
Dogo kichwa tazama alivyo mshika mkono then mkono wake wakulia ndiyo una ujumbe wote!!
jaman sidhani kama ndo hivyo watoto hawa as malaika vile!
wanaonekana very innocent, its just childish friendship. yaani hao mmoja akichokozwa lazima mwenzie amtetee hata kwa kurusha mawe,
Sure positive thinking on kids... umewatendaea haki kwa mtazamo wako Little Angel
Sure positive thinking on kids... umewatendaea haki kwa mtazamo wako Little Angel
Duh..!!! Nimemkubali dogo picha inajieleza,hapo inaonesha walikuwa wamesimama sehemu bidada akaokota vijiti weeee mpaka kilipoeleweka sasa dogo anamsindikiza kwao na ,kilichobaki ni kifuatacho ITV..
Jamani mie naona unawakandamiza toto dogo hizi! hazijui hata kitu about loveDuh..!!! Nimemkubali dogo picha inajieleza,hapo inaonesha walikuwa wamesimama sehemu bidada akaokota vijiti weeee mpaka kilipoeleweka sasa dogo anamsindikiza kwao na ,kilichobaki ni kifuatacho ITV..
sure I see it!He cares
ooh noo!
yeah a so called natural love!Huu ni upendo wa agape kwa hawa malaika
We kataa tu lakini ndio ukweli wenyewe huu watoto wa siku hizi hawaaminiki,kumbuka tu wakati wetu siku umekosea mama yako anakuuliza unakiri na kuomba msamaha hata ukiadhibiwa unajua kosa lako,lakini hawa wa siku hizi unamuuliza we Juma umedokoa sukari leo anakuambia mama mi wala sijadokoa na ukimtazama mdomo wate umetapakaa chembechembe za sukari,siwalaumu lakini hapa najaribu tu kuwakumbusha wazazi wasiwaamini sana watoto na kuna tabia zinapojitokeza inabidi mtoto atazamwe kwa ukaribu...