Tafadhalini Star tv naombeni muwaige ITV

KIBURUDISHO

JF-Expert Member
Mar 28, 2011
1,002
274
WanaJF wenzangu kati ya chaneli ninazozipenda kuziangali ni STAR TV na ITV na sehemu waliyoifanya vizuri hadi nimewakubali ITV ambayo STAR TV wanatakiwa na wao waige ni kuunganisha vipindi kama marumbano ya hoja kusikika moja kwa moja kwenye redio one na capital redio,hivyo nawaomba star tv waige hilo ili kile kipindi cha tuongee asubuhi na midahalo iwe inasikika moja kwa moja kwenye redio ya RFA maana wasikilizaji wengi wako vijijini na huko ndiko mabadiliko yanakotakiwa yawafikie na elimu pia.
 
Well said mkuu,sio vijijini tu hata mjini siku hizi watu wana earfone wanasikiliza radio kwa simu hata kama yupo kwa daladala...igeni mfano wa ITV tafadhali...wapo juu,big up kwa hilo.
 
Mkuu, ikumbukwe kuwa muda ambao kipindi cha 2ongee asubuhi huwa kinaendelea, upande wa RFA huwa kunakuwa na kipindi cha michezo, habari kwa ufupi na pia kipindi cha burfudani zaidi chini yfa Fredwa. So ukisema wafanye hivyo vilele watakuwa wamewanyima nafasi wale wapenzi wa michezo, habari kwa ufupi na pia wa2 wa burudani watakuwa hawajatendewa haki. Nadhani mpangio uliopo sasa ni mzuri na unafaa kuigwa na wengine.
 
Good Idea ila Star Tv nakumbuka hua wanafanya si unakumbuka vipindi vya Dr Ndodi Juma4 vinakuwa RFA pamoja na Star TV
 
Back
Top Bottom