Tafadhalini kwa anaejua

Che Kalizozele

JF-Expert Member
Jul 20, 2008
777
49
Niliuliza swali hil katka jukwaa la walioelimika lakini naona waungwana mmekaa kimya,nimeona niwaletee huku huku swali hili,najua huku watu wa afya mko wengi.

I was passing through a south african guideline on management of chronic/persistent diarhea in paediatrics,they are saying that at that stage of diarhea you can give the kid gentamicin orally 8mg/kg 4hrl for 3 days in combination with other drugs.I want to know how do you administer it,by just crashing the vial or what?Because to my knowledge I know there is no oral preparation of gentamicin only the injectables
 
Unaweza pata majibu kutoka Google Doctor au kwenye hizi website hapa chini.

SpringerLink - Journal Article

SpringerLink - Journal Article

Google Directory - Health > Medicine > Directories > Doctors
 
Hii guideline ina walakini. Kwanza, persistent diarrhoea sio lazima iwe infection.

Mara nyingi inakuwa ni tatizo jingine zaidi ya infection.

Pili, Gentamicin inatolewa kwa sindano. Ningekushauri mgonjwa afanyiwe vipimo ili kujua tatizo halisi, badala ya kumpa antibiotiki "empirically".
 
Back
Top Bottom