Tafadhali usisome hapa!

Smarty

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
776
426
niaje waungwana? Kwa muda mrefu nimekuwa nikifuatilia mijadala mbalimbali hapa jf. Hii forum naikubali sana kwani ni ya ukwe-eh 7bu robo ya siku huwa najikuta nakuwepo hapa maana hapa huwa naamini ni stress free zone. Ila kuna baadhi ya thread na reply huwa sizipendi kabisa kama zile zinazohusu maswala ya udini. Wewe ni muislamu kwa 7babu ulizaliwa ukakuta wazazi wako ni waislamu na mwingine ni mkiristo kwa sbb ulizaliwa ukawakuta wazazi wako hivo, ni wachache wanaosoma wakatambua dini ni ipi ya haki au vipi!! Mi nashauri maswala ya udini tuachane nayo kwa sbb hapa duniani tunapita tu, wengine familia zetu tumemix dini tena ndugu wa tumbo moja kwahiyo huwa tunakawzika. Sawa?? Sawa!!!!!!! Haya!!!!!
 
Mdau umeonge jambo la msingi sana. Tatizo hili la kuongelea udini ukiangalia kwa undani wake lilianza wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu. Chama tawala ndio chanzo, na mkuu wa nchi inaonekana hana dhamira ya dhati kukomesha hii mbegu inayomea taratibu. Ukiangalia kwa wenzet rwanda, ni marufuku kutamka hata kabila, na serikali imefanikiwa kwa hili. Hapa kwetu, usimamizi wa maelekezo ya serikali yetu ni hafifu kwa vile wasimamizi wenyewe ndio wanao-propagate suala la udini

Rai kwa watanzania, sisi wote ni ndugu, dini zimeletwa kwa nia njema ya kutufanya tuishi kwa amani na upendo. Tusifute msingi huu
 
Namkumbuka Baba wa Taifa,RIP Sir. Alisema mtu akishindwa kwa HOJA basi atajihalalisha kwa UDINI, UKABILA, UMKOA nk. Huyu Mzee kweli namheshimu kwa hilo alikuwa na uwezo usio wa kawaida ndio leo tunaona wakuu wa nchi wanajihalalisha hivo.
 
Heading na content vimepishana....
Hakuna Mchango.....
Kwa sababu hukutaka mchango according to your Heading.....
 
Mkuu, upo serious? Kama hutaki tusome umepost ya nini? No comment, sijasoma
 
Ha ha haa si mmesoma lakini! Changieni tu! yale yale unakuta heading kuubwa "MREMA AFUMANIWA NA MTOTO WA SHULE" ndani ya habari unakuta mzee wa huko kijijini kakutwa na mtoto wa shule akikojoa kichakani!
 
niaje waungwana? Kwa muda mrefu nimekuwa nikifuatilia mijadala mbalimbali hapa jf. Hii forum naikubali sana kwani ni ya ukwe-eh 7bu robo ya siku huwa najikuta nakuwepo hapa maana hapa huwa naamini ni stress free zone. Ila kuna baadhi ya thread na reply huwa sizipendi kabisa kama zile zinazohusu maswala ya udini. Wewe ni muislamu kwa 7babu ulizaliwa ukakuta wazazi wako ni waislamu na mwingine ni mkiristo kwa sbb ulizaliwa ukawakuta wazazi wako hivo, ni wachache wanaosoma wakatambua dini ni ipi ya haki au vipi!! Mi nashauri maswala ya udini tuachane nayo kwa sbb hapa duniani tunapita tu, wengine familia zetu tumemix dini tena ndugu wa tumbo moja kwahiyo huwa tunakawzika. Sawa?? Sawa!!!!!!! Haya!!!!!

post yako saaaaaaaaaaaaaafi, tatizo heading mkuu, au ni namna ya kuwavuta watu, kwa sababu bin Adam kwa vitu vilivyofichika Mh!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
nafikiri heading ameandika hivo.. ili wale wahusika.. "wadini" piaje waisome ..... maneno yake kweli kabisa.. ! i hope wahusika watayafanyia kazi.. na wanajulikana kabisa....
 
Unaweza kukuta huyo wanayemsema wa dini yetu kabaki jina tu! Anavyoishi hana tofauti na mpagani smtimes mpaka shetani anamuogopa(jinsi anavyofisadi) si mishipa ya shingo inavyotutoka kwa kumtetea kama vile ye ndo njia ya PEPONI!
 
niaje waungwana? Kwa muda mrefu nimekuwa nikifuatilia mijadala mbalimbali hapa jf. Hii forum naikubali sana kwani ni ya ukwe-eh 7bu robo ya siku huwa najikuta nakuwepo hapa maana hapa huwa naamini ni stress free zone. Ila kuna baadhi ya thread na reply huwa sizipendi kabisa kama zile zinazohusu maswala ya udini. Wewe ni muislamu kwa 7babu ulizaliwa ukakuta wazazi wako ni waislamu na mwingine ni mkiristo kwa sbb ulizaliwa ukawakuta wazazi wako hivo, ni wachache wanaosoma wakatambua dini ni ipi ya haki au vipi!! Mi nashauri maswala ya udini tuachane nayo kwa sbb hapa duniani tunapita tu, wengine familia zetu tumemix dini tena ndugu wa tumbo moja kwahiyo huwa tunakawzika. Sawa?? Sawa!!!!!!! Haya!!!!!

Poleni sana tatizo udini ni mtaji wa sera za watu flani
 
Ni kweli mkuu hakuna sabab ya kuwa na malumbano ya kidin kabisa, sabab kila mtu anaiman yake na anaabudu kivyake so unapoanza kulumbana na kukishifiana dini zetu yawezekana tunamkosea hata huyo mungu. Mungu atusaidie.
 
ni kweli tuliowengi tumezaliwa na kukuta wazazi wetu ni wakristo au waislam but haizuii mtu kujua dini ya ukweli ni ipi. Kumbuka utahukumiwa wewe km wewe na si mzazi wako. Kila mtu atabeba mzigo wake mwenyewe! Kutotafuta ukweli si suluhisho bali mtu mwenyewe mwenye akili tim amu bila influence ya wazazi asome maandiko na kujua ukweli
 
Jukwaa la imani na dini lifutwe kwani linaleta udini na kupoteza mshikamano wetu hapa JF. Hatutaki udini lifutwe tu nafikiri lianzishwe Jukwaa la Utanzania kwani huwa naamini dini ni mfumo na utaratibu wa maisha ya kila siku anayofuata mtu lkn hizi dini wakati mwingine zimekuwa kama sumu ya fikira zetu
 
Back
Top Bottom