Tafadhali usile samaki hata kwa mwaka mmoja kuanzia sasa!! CCM hawaaminiki

payuka

JF-Expert Member
Jun 17, 2010
829
127
Laiti ningekuwa najua ni aina gani ya samaki walioingizwa nchini kuoka japani ningekuambia usiwale hao samaki kwa mwaka mzima. Na ninasababu za msingi za kukuambia hivyo.
Serikali ya JK sio makini, imejaa watu walafi ambao hawaoni shida kutengeneza faida kwa kuwatoa kafara watanzania wenzao. Wanaweza hata kubadili makontena, yale yenye samaki walio na mionzi ya nyuklia yakaingia sokoni na ya dagaa kutoka kigoma yakaletwa.
Ushauri wangu ndo huo, CCM hawaaminiki hata chembe.
 
Nimeshtushwa sana na taarifa ya Waziri wa uvuvi na mifugo bungeni Dr Mathayo kuwa kiasi cha samaki kilishakwenda FERI. Na hadi sasa hivi kuna kiasi cha samaki wameshindwa kukuridhisha kwa maneno mengine watu wameshakula! Sasa tusubiri cancer 4-5 yrs from now!

Nategemea mkurugenzi wa TDFA na yule wa TBS wawajibishwe.
 
nini mwaka mmoja, mie kwangu marufuku kula samaki kwa miaka miwili, nikihitaji bora nichukue sato wa mwanza, samaki yoyote wa maji chumvi MARUFUKU!!!!!!!


 
Back
Top Bottom