Tafadhali Tafadhali Sana Dini Isiwe Kichaka cha Udhaifu wa Ccm na Serikali yake!

Gosbertgoodluck

JF-Expert Member
Mar 3, 2008
2,855
401
Wandugu wanaJF,
Kuna tabia imeanza kushamiri humu janvini ya kuchangia hoja kwa mtazamo wa kidini badala ya ku-focus kwenye hoja yenyewe. Mfano mzuri ni hoja ambayo bado ni 'moto' ya unyanyasaji na mauwaji yaliyofanywa na vibaraka wa sisiem na serikali yake jijini arusha. Kuna kikundi cha wachovu kinadai eti wakristo wanamchukia jk!! Hiyo ni janja ya kutaka tuondoke kwenye agenda kuu. Kama wakristo wanamchukia jk ilikuaje wakristo hao hao mwaka 2005 walimchagua tena kwa kishindo!! Ningekuwa na uwezo, ningefutilia mbali humu janvini vijitu vyote vinavyotazama kila jambo kwa macho ya udini.
 
Back
Top Bottom