Tafadhali someni hii na kushauri

Status
Not open for further replies.

MAN OF CHANGES

JF-Expert Member
Jan 9, 2011
507
191
Wakuu kwanza sory kwa kuleta hii topic kwenye jukwaa la siasa,hii ni kutokana na kwamba tyr nimeikuta imewekwa kule jf doctor lkn wengi hatupitii na kutoa mawazo yetu kwenye JF Doctor.

Naomba ushauri kwa anayejua madhara ya matumizi ya Magic Shaving Powder.watu wengi wanatumia na ninasikia tetesi kuwa inasababisha kansa ya ngozi,plz tusaidiane ktk hili.
TUWE NA UTARATIBU WA KUPITIA NA MAJUKWAA MENGINE HAPA JF SI TU JUKWAA LA SIASA WKT KUNA WATU WANAHITAJI USHAURI WA KITAALAMU KWENYE JF DOCTOR.
 
ma-dr. msaidieni huyu mtu.anahitaji ushauri wenu wa kitaalam.mgomo hata JF!!?.
 
siasaforum_new-48.png
[h=2]Jukwaa la Siasa[/h]
Tanzania's Political Forum. Tafadhali hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!.

Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom