Tafadhali nisaidieni decoder ya AbbuDhabi

KIBURUDISHO

JF-Expert Member
Mar 28, 2011
1,002
274
Tafadhali naombeni msaada kwa wanaofahamu jinsi ya upatikanaji wa hizo decoder za abbudhabi na gharama yake.
 
mimi niliuliza sana
humu but hakuna alienijibu
tusubiri leo tuone
 
Huku Tanga pale bandari house kuna wakala anauza hizo dikoda.LAKI NA KUMI NA TANO TU!ELFU KUMI NA TANO KILA MWEZI!CHANNEL 24!LOCAL CHANNEL ZIPO!
 
hebu waulize huku dar hawana wakala?
au una namba zao za simu utuwekee humu?
 
Huku Tanga pale bandari house kuna wakala anauza hizo dikoda.LAKI NA KUMI NA TANO TU!ELFU KUMI NA TANO KILA MWEZI!CHANNEL 24!LOCAL CHANNEL ZIPO!

Kuwa mkweli usituletee habari za kusadikika hapa, maana tunazitafuta kama Almasi
 
Huku Tanga pale bandari house kuna wakala anauza hizo dikoda.LAKI NA KUMI NA TANO TU!ELFU KUMI NA TANO KILA MWEZI!CHANNEL 24!LOCAL CHANNEL ZIPO!

Tafadhali mkuu kama una uhakika na habari hii tafadhali sana tunaomba mwongozo juu ya upatikanaji wa decoder hizo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom