tafadhali naomba msaada..

MT255

JF-Expert Member
May 3, 2012
3,381
4,648
Natanguliza shukrani wakuu,naomba maelekekezo kwa mtu yoyote anaefahamu kuunga internet kwa kutumia simu ya HTC desire a8181 na kama anaweza anatumia software gani?.....msaada tafadhali.
 
kama tayari kuna apn profiles just go to MENU>SETTINGS>WIRELESS&SETTINGS> SELECT MOBILE NETWORK

Kama haujaset access point fanya hivi: MENU>SETTINGS>WIRELESS&SETTINGS>mobile networks>ACCESS POINT NAMES> kisha bofya Menu tena halafu chagua New apn, jaza name, apn kisha save...... baada ya hapo rudi kwenye settings izo zahapo juu then utaona kwenye juu pembeni ya betri na network indicator inatokea alama E au G ina vimishale viwili ukiona ivyo fungua browser anza kusurf
 
Nashukuru sana wakuu kwa ushauri wenu....shukrani tens kwenu,kinachonisumbua mimi sio net kwenye simu Bali kupata net kwenye pc kwa kutumia simu hii HTC DESIRE A8181...please naomba msaada wenu.
 
Back
Top Bottom