Kwa Mujibu wa ufafanuzi wa Sheikh Mkuu alioutoa jana.. Mwezi unabashiriwa kuandama leo jioni na hivyo kesho itakuwa siku ya IDD. Hata hivyo amesema iwapo mwezi hautaandama ( ingawa amesema kuna uwezeakano mkubwa wa kuandamama leo siku ya 29 kwa vile mwaka jana uliandama siku ya 30ya mfungo). Waumini wataendelea na swaumu kesho ili kukamilisha siku 30 za mfungo ambazo hata km mwezi hautaandama baada ya siku 30 watu wataadhimisha Id el fitri km kawaida.
Pacific Asia + bahrain saud ARABIA .... tumekamilisha 30 leo jana hatukuona mwez!! Ofcoz bakwata leo lazima waone sababu 30 zishakamilika EAD ni ijumaa
Wteja wako wakirudi waambie wamishinda na njaa tu hawajafunga! kwani lengo kuu la mfungo ni kumuweka muumini sawa kiimani. kwa hiyo wape ushauri wasijisumbuwe tena kukaa na njaa:becky:
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.