Tafadhali msaidie "Mzee Kipara"

global publishers wameponza huruma ya watz kumsaidia mzee kipara, wameitafsiri habari kiudaku zaidi. namkumbuka akiwa na p&p co.ltd nitamsaka kwa namba mlotoa, hata hivo kutoa ni moyo wapendwa!!
 
Waislam, msaidieni ndugu yenu.
kuwa na busara,si kila jambo ni udini udini tu,ni suala la ubinadamu na usamaria wema, msaada wa dhati na wenye thawabu kubwa ni ule unaotolewa bila ubaguzi wa aina yeyote ile na bila kuangalia makosa au matendo ya nyuma aliyofanya anayehitaji msaada! huo ndo upendo wa ki-Ungu, maana hata wale wasiomuabudu hata kumuamini huwapa riziki ila siku ya kiama ndo watapata adhabu yao!
 
Sasa mkuu, ukiyajuwa yote hayo ndio utamsaidia au utasema kuwa haliyataka mwenyewe?
<br />
<br />
NDO HAPOO! KWAN UNADHAN WATU WOTE WANAAOMBA MISAADA HAWANA HAYO UNAYOULIZIA? ONLY GOD KNOWS UR TOMMORROW SO,IS BETTER UNYAMAZE TUU HUTAPUNGUKIWA KITU! ALIYEKUPA WEYE NDO ANAMSABABISHA AOMBE!!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom