Tafadhali msaada wako hapa unahitajika tena sana

combra

Senior Member
May 28, 2012
130
31
simu yangu ni nokia 5230 haisomi PDF life,lkn niki-download inakubali,baada ya kudownload halifunguki file. Nikitaka kufungua inaniandikia "unable to open,File type not supported" waungwana je tatizo nini na nifanye je.thanks in advance
 
Naamini haina application husika yani pdf reader, jaribu kuzichek getjar au google with phone model, samahani natumia simu nimeshindwa kuweka link
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom