Tafadhali mnyika asidhurike

akide

Member
Jun 5, 2012
11
1
kina nanii wamezoea kukata mapanga,kuchinja,na kutega ajari,mawazo ya mtu yanaheshimiwa,na mkipayuka,au kukulupuka mnawapa nguvu wanawaita wadhaifu,hasa kwa wewe uliyetangaza vita binafsi na mnyikakwa taarifa yako hujatangaza vita na mnyika,ila umetangaza vita na sauti ya uma.
 
Wajaribu Moto wake wa Uone
 
Usiogope Mungu yupo Upande Wetu, kwani Msema kweli ni Mpenzi wa Mungu, Nyeupe ni Nyeupe tu, waliokula unga wa ndele juu yao.
 
Nani atamdhuru mtu ambaye ulimi wake unambomoa kwanza mwenyewe?
Leo Lema ana hanja hanja njaa hadi Manzese, kiko wapi?
 
LOL...adhurike kwa kipi?

Au Chadema mna mpango wa kumuumiza kijana wa watu ilimradi tu muipe jina baya serikali? :sad:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom