Tafadhali Kikwete usiondoke na majina ya wauza unga.

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
21,271
47,271
Ulituambia mwenyewe kuwa orodha ya majina yote ya wauza unga unayo mezani kwako na kuwa ulikuwa unasubiri muda mwafaka uyatangaze hadharani, nilisubiri sana. Nilidhani leo ambayo ni siku yako ya mwisho kulala magogoni utayataja ili kazi ya kuyashughulikia hayo majizi aanze nayo msukuma, watani zetu huwa wanasema kazi ngumu mpe msukuma lakini hadi sasa hujafanya hivyo.

Basi nakuomba kesho wakati unakabidhi funguo za ofisi usisahau ukaondoka nayo mkabidhi rais JPM ayafanyie kazi maana yeye ni kazi tu.

Asante kwa kunisikiliza na kwa heri.
 
Hayo majina ya wauzaji wa madawa ya kulevya Makonda anayetafuta kumbe yapo Ikulu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom