Baba Collins
JF-Expert Member
- Sep 24, 2011
- 502
- 106
Yuko huku mbugani anakula gud time.
Mwenzenu huwa najiuliza mara nyingi - hivi walipokuwa wanataka kuwa viongozi walikuwa wanafikiria wanatakiwa kuongoza nini magari? au kwa wingi wa saluti wanazopigiwa?
WE NEED A LEADER!
mara mia waziri wa makazi amejitaidi japo kwa kutuma salamu za pole ingawa yupo Uganda kikazi.
Mi nadhani amethubutu kuonyesha kujali kuliko kaka mkuu wa nchi.
Mama tumekusikia tangu wiki iliyopita huko Uganda ukitembelea na kujionea ulimaji wa migomba na utunzaji wa mimea.Tunachojiuliza coverage ya habari yako kwenye runinga ya TBC1 ni asilimia 30% na kuendelea kila siku, tumegundua huenda unayo ajenda yako ya urais 2015, lakini kumbuka kazi unayofanya ilipashwa kuwakilishwa na afisa kilimo ambaye ndiyo mtaalamu ndani ya jimbo lako na ndiye ataweza ku-implement strategies in place.
Lakini kikubwa zaidi mama huyu anatakiwa kurudi kuja kuwaongoza waathirika wa mafuriko kwani yeye ndiyo waziri mwenye dhamana ya nyumba na makazi, TUNAMTAKA AKATISHE ZIARA YAKE ARUDI KUWAJIBIKA
RUDI MJOMBA
kwanza Baba mwenye nyumba mwenyewe yupo? Isije ikawa tunamuuliza kumbe yupo nyumba ya jirani.
Kama ni salaam!!!! hata JK kamtumia mkuu wa mkoa, msipotoshe mada mama tibaijuka ni kiranja wa zamu kwa hili anapashwa kuwepo ili kuripoti matukio kwa kiranja mkuu
mara mia waziri wa makazi amejitaidi japo kwa kutuma salamu za pole ingawa yupo Uganda kikazi.
Mi nadhani amethubutu kuonyesha kujali kuliko kaka mkuu wa nchi.