Tafadhali Kikwete tangaza hali ya Dharura kwa Jiji la Dar; TUONGOZE KWENYE DHARURA HII!

Kwa sababu "idol" wako unae m "worship", hajafanya hata robo ya anayoyafanya Kikwete, sasa uliobaki kwako ni usongo.
Kumbuka..wahanga walio wengi ni wale ndugu zako unaowaita wa 'mjini' manake wengi wao wanaishi mabondeni, sisi wakuja tuna ahueni.
 
Mwalimu alipobuni na kuanzisha vijiji vya ujamaa nia yake nyingine ili ku-Curb hii influx ya watu kuhamia mijini. Tukambeza. Tukamwacha aondoke madarakani na hatimaye afe na sera zake nyingi nzuri tu. Sasa Dar imejaa na bado watu wanakuja. Tutajenga kila penye udongo wa kusimika nguzo au kulaza tofali.
 
Back
Top Bottom