Tafadhali jibu hili swali

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,108
18,326
Ivi mkeo wako au mume wako ni ndugu yako??

Fikiria kwanza kabla ya kujibu

thanks
 
Ivi mkeo wako au mume wako ni ndugu yako??

Fikiria kwanza kabla ya kujibu

thanks

Si ndugu, ila ni mke wangu. watoto watakao zaliwa ndio ndugu zangu. Kwani undugu hautenganishwi hata kwa mahakama.
 
Back
Top Bottom