Tafadhali Braza Zitto usiwasaliti WaTZ. Hiyo ni Dhluma. Mungu Hapendi.

The Prophet

JF-Expert Member
Mar 17, 2011
682
94
kama shibuda ni bakuli tupu kabisa. watanzania hatuhitaji misemo wala nahau zake. kama anataka nahau aende kwenye chama cha mwana-nahau mwenzake kikwete wakapige porojo za misemo:

ukitaka kula sharti uliwe.
tunajenga nyumba moja ya nini kugombea fito.
sijui nini na nini....

hatutaki.

Watanzania tunaotaka mabadiliko tupo. Tunahitaji sapoti yenu viongozi wetu.

Keep it up Zitto.
 
Hivi hapa Zitto anahusika nini?
Au ulitaka kumtaja Shibuda?
Jamani, mpumzisheni huyu Mh Zitto!
 
Amemtaja zitto labda kwa sababu aliliongelea sawala la Shibuda kufukuzwa
 
Hii thread ni utumbo, pumba, upuuzi, crap! Mods mpo wapi?
 
Back
Top Bottom