Tafadhali airtel njooni musoma

MZAWATA

JF-Expert Member
Feb 10, 2011
556
95
Katika mji wa musoma airtel tunaomba mfunge vifaa vyenu vya internet,kwa kwel tunapata tabu sana kupata internet ya uhakika na ya bei nafuu. Airtel kama mkomboz wetu chondechonde njooni mtusaidie maisha ktk hili.
 
Back
Top Bottom