Tafadhal nahitaj msaada wk nko njia panda???

Jul 14, 2012
60
4
Nina mchumba ambae yuko Arusha na Mm nko Dsm huyu. Katika uhusiano we2 2meahidiana mambo meng sna lakn nahc kuwa hayatotimia kwan mchumba wng amebadilika sana.
Mchumba wng amekuwa anatabia ambazo sizipend na nimekwsha mwambia lakn kubadilika hatak. Mchumba wng amekuwa mgumu sana kuniomba msamaha pale anakuwa amenikosea na nikimwambia anachukia na huwa anakata cmu na mpaka kuna wakat anaamua mpaka kuizima cmu
Na pia amekuwa hani heshimu amekuwa akinidharau sna na ananijibu majibu mabaya. Kiukwel nashindwa kumuelewa juzi alikuwa anang'ang'ania tuachane lakn mimi ckuwa tayar na alikwsha niambia km mara 4 2achane lakn huwa nakataa kwa sbb nampenda snaa
Sasa jana 2likuwa 2na ugomvi nikamwambia asipende kuidhulumu nafs yk kama amenichoka awe huru aniache na maisha yng. Yeye alinijibu kwa kuniambia kuwa niamue mm lolote nitakaloamua kwake ni sawa 2.
Kiukwel nahc kuwa huyu mwanamke amekwsha pata kidume kinamdanganya au amekwsha nichoke.
Jaman tafadhal naomben ushaur wenu niko njia panda
NAWASILISHA.
 
Na ww c umuache tuu! Ww mkaushie tuu kwanza uone response yake! Muda mwingine inabidi uchukue maamuzi magumu
 
smtimz ni vigumu sana kuachana na mtu unayempenda, hasa ukiwa hauko tayari! lakini mkuu, hayo mambo yote ni viashiria kwamba hakupendi tena au kaisha pata mtu...jaribu kuwa makini coz unaweza kujikuta unapoteza muda mwingi na kupata magonjwa bure
Tafuta muda ukae nae face to face muongee ujue mbivu na mbichi......kama mbwai mbwai tu bana ukiona vp achana nae,
 
Hatua hiyo ndiyo ya kuonyesha kwamba wewe ni mwanaume na unaweza kufanya maamuzi magumu. Kitendo chochote cha kumbembeleza au kumpigia simu kitaendelea kukudhalilisha na kukuumiza.

Imetosha sasa ..............Piga moyo konde move on!
 
huyo mwanamke hakutaki na ataendelea kukutesa.maybe atakuwa na mtu mwengine,ni vizuri uachane nae,au upo tayari kuendelea kujitesa?najua ni ngumu ila piga moyo konde na uachane nae
 
huyo mwanamke hakutaki na ataendelea kukutesa.maybe atakuwa na mtu mwengine,ni vizuri uachane nae,au upo tayari kuendelea kujitesa?najua ni ngumu ila piga moyo konde na uachane nae

umenena mkuu,wakati mwingine tunajitafutia magonjwa bure
 
penda unapo pendwa.
Na uwe na msimamo,
usije ukamtosa then baada ya muda unarudi mwenyewe kuomba akusamehe.
 
Ameshakuchoka au kapata mwingine anamzuzua, ni bora kuumia kwa mda kuliko kuumia milele, take your time move on with your life yeye hakufai, wewe sio wa kwanza kuacha/kuachwa, life goes on!
 
Unasubiri akwambie nini ndio ujue hakutaki?Mimi mwanamke akishaanza dharau tu nakaa pembeni ni afadhali maumivu ya kuacha mtu ninae mpenda kuliko kuendelea kuumia nikiwa nae utaishia kuchanganyikiwa tu,fanya maamuzi magjmu piga chini huyo
 
Anajua weakness yako ndo maana pasua kichwa. Mnyamazie for a while uone reaction yake, kama atarudi na apology ujue keshatia adabu otherwise kapata mtu huyooo
 
Umenikumbusha ule wimbo wa bongo fleva '...nidanganye danganye danganye tuu... ukiniambia ukweli utaniumizaaaa...hata nikikukuta chumbani mtupu umekumbatiwaaaa....."

mtua anakomaa muachane lakini wewe umo tuu!
 
Muache ili uone atacho fanya ukiona na kuwa kimya jua kesha pata mwingine ukiona anakufatilia jua alikuwa anabeep
 
Kama hakuhitaji why umeng'ang'anie? Sema na roho yako

Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
 
smtimz ni vigumu sana kuachana na mtu unayempenda, hasa ukiwa hauko tayari! lakini mkuu, hayo mambo yote ni viashiria kwamba hakupendi tena au kaisha pata mtu...jaribu kuwa makini coz unaweza kujikuta unapoteza muda mwingi na kupata magonjwa bure
Tafuta muda ukae nae face to face muongee ujue mbivu na mbichi......kama mbwai mbwai tu bana ukiona vp achana nae,

Ahsante mkubwa.
 
jichunguzr mwenyewe, je unamuheshimu?
Je unamajibu / kauli nzuri kwake?
Je huwa unaomba msamaha unapokosea?

Mwisho kabisa penzi halilazimishwi, likiisha songa mbele
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom