Tafaadhal! Wanajamii forum mnalionaje hili

NIMEKIMBIA CCM

Senior Member
Oct 4, 2011
193
26
Jaman waheshmwa hatuombei ila 2angalie mbele kidogo
hvi hawa al-shabaab wakija Tanzania itakuwaje,
mimi binafsi nadhani ili kuokoa damu ya watanzania 2waombe mazungumzo kwani hata 2kisema tupambane nao 2tainga hasara kwakupoteza raia wakati wakuu wanch wakilindwa,
co kuwa naogopa ila 2jarbu kuangalia upande wa pl wa shlng,jaman vlevle nackia et kenya wanataka kupambana nao mi naamin wataisha kuuwa wananch waco na hatia kwan hawa al-sb hawana alama hvo watakuwa wanahc
JE AL-SHABAAB WAKJA tz WE UNASHAUR NN?
 
Wapo wengi tu mbona? Hata hpa JF si wapo? Kwani Faiza si mmoja wao???
 
Back
Top Bottom