tabora kinenuka....ffu raia na jkt..vitani

Smarty

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
776
426
wakuu hapa tabora mjini kumetokea vurugu...kuruta wa jkt wamezurumiana na machinga katika kuuziana viatu ...naskia jamaa kachukua viatu bila kulipa machinga wamempa kichapo..sasa ni vurugu maduka yote yamefungwa watumwanakimbia hovyo yaani ni noma tupu. Askari wanajaribu kuwazuia raia wasiwapige askari wa jkt maana wanahofia kitakchofuana ni noma....
 
Safiiiiii
sasa cjui hiyo ngoma ikichanganya ffu watakuja kutuliza fujo kwa kupiga mabom na risas za moto?
 
Mkuu umeskia au upo eneo la tukio? Maana umeanza kuripoti kuwa umeskia but unavyoelezea as if upo eneo la tukio! Ok, ni taarifa njema sana maana walisema waTZ waoga! Huo ndio woga wao sasa, Mbeya, Mwanza, Arusha na sijui next
 
mjeshi kavunjwa mkono...raia wamekimbilia msikitini....wamefuatwa hukohuko bila kujali...duh jamani raia wamepigwa uhai hapa hamna magari yametobolewa kwa risasi.
 
mjeshi kavunjwa mkono...raia wamekimbilia msikitini....wamefuatwa hukohuko bila kujali...duh jamani raia wamepigwa uhai hapa hamna magari yametobolewa kwa risasi.

Hadi kwenye nyumba za ibada wanawapiga watu? Kweli hawa FFU hawana imani.
 
Mapambano yanaendelea maduka yamefungwa,mapambano yapo mtaa wa mwanza road barabara ya kuelekea wilaya ya urambo,hali ni mbaya.
 
Mkuu umeskia au upo eneo la tukio? Maana umeanza kuripoti kuwa umeskia but unavyoelezea as if upo eneo la tukio! Ok, ni taarifa njema sana maana walisema waTZ waoga! Huo ndio woga wao sasa, Mbeya, Mwanza, Arusha na sijui next

nipo mjini hapa....vurugu limpungua na risasi na mabomu yamezimika....jamaa baada ya kuvunjwa mkono ilipigwa simu kambini kikashuka kikosi kutuliza ghasia watu wameumia wengine wamepelekwa hospitali..
 
Nimekuelewa sasa Mpwa, leo Dar ni NEEMA ya mvua tu labda ili watu wajiandae kwa wiki ijayo tena!!!
 
duh jama mwenye duka lake wamemvunjia vitu kibao wametupa nje...wameharibu kinyama.. Ningekuwa na kmera ningeweka photos hapa...kwa sasa vurugu zimeisha shuguli zimmeanza tena ila maduka yamefungwa...
 
Back
Top Bottom