Tablets, smart phone and laptops

Na mie add kwenye huo mzigo kwa bei hyo vp bei za laptop na zinafka lini?


J5 naagiza mkuu so itachukua kama 7working days mzigo kufika, bei za laptop ndo hizo nimeziupdates nambie model uitakayo,
 
Mlioagiza mtoage ushuhuda kama kweli mlipata hzo bizaa kwa bei hyo itasaidia ku motivate na wengine waagizaji wawe wengi..
 
Mkuu tuhakikishie mambo kama ni Orginal au ni Copy ya Mchina. Mana hata ukisearch Google Model hizo hazipo kabisa
 
Kama Kweli Macbook pro ni pesa za kitanzania hizo naomba ushuhuda kwa walio agiza seems fishy kiana kwani maduku ya uko mbele zinaonekana ni 2999 hivi. ipad ziko kwenye dola 800 16GB etc.

Duu Mkuu usituingize chaka.
 
wana jf mimi nimepata uwakala na kampuni moja ya kichina inayotengeneza tablets, smart phone na laptops wameniambia nipate angalau watu 20 ambao watanunua products hizo mara tu ya kufika nchini ili wanitumie kwa bure ili baade zikifika niziuze mara moja na kutuma hela zao na kuendelea nao hivyo hivyo.


Ombi. Wanajanvi naomba ambao mko tayari kununua tuwasliane mimi sitataka unilipe hela ila unihakikishie tu kuwa utanunua mara tu ya mzigo kuingia then muniruhusu niwambie wanitumie. Unaweza ukanipm au ukanicall 0683714488. Mi napatikana dar.


wadau tulioagiza tablet tujiandae baada ya wiki mbili mzigo utakuwepo bongo, na wale wa laptop na ipad tuanze kuagiza hizo ndo bei zake usiogope bei ndogo ww agiza tu kama unayo hiyo hela
iliyoandikwa.
bei za laptop na ipad tu tunaweza kudiscuss kama unataka zaidi ya moja.
huu ni uongo nakama ni ukweli walikwambia hivyo kuwa wanakutumia bure basi ni sawa ila mimi niko hapa china hakuna kitu kama hicho na nakushauri kama wamekwambia uwatumie hela zitaliwa take care nakushauri kama rafiki yangu. Apple kwa bei hiyo hakuna labda kama ni tunda siyo computer, au kama unataka fake. Ukibahatika kuletewa bidhaa halisi nakupa hongera kwakuwa mfanya biashara wa kwanza mwenye faida kubwa. Bei halisi ni kwa bidhaa halisi bei rahisi ni kwa bidhaa fake angalia usije kuingia hasara. Kingine hakuna speed ya kutuma mzigo kutoka huku kwa siku ulizotaja hapo kwa bei cheap kama uliyotaja hapo maana itakubidi utumie dhl, ups, au ems ni gharama. Kuwa muangalifu kama unafanya biashara online ya kutuma hela na kupokea mzigo. Itakuwa kitu kizuri kama ulishawai kufanya biashara na hao watu kwa mara kadhaa hivyo mnaaminiana. Tablet kuna cheap mbovu na za gharama nzuri.
Mwisho nakushauri kama mtanzania mwenzangu kuwa makini na usikimbilie cheap products maana hapo ndipo kwenye mtego wakuliwa pesa yako. Zaidi bei iliyotaja hapo hata used apple huwezi kupata.
Jioni njema waungwana
 
umeona Eh!! Jamaa ukimwambia hakuakikishie kuwa ni Orginal anakuwa Bubu. Wajinga ndo Waliwao
 
mkuu your prices are too good to be true. naona kuna alienware m17x. nakutumia pm ya contacts zangu, kama vp unishtue nipo atown lakini nitakufuata dar zikifika. but please hakikisha hizi mashine ni za kweli. nipe feedback kama zinakuja lini nianze kurudi dar
 
Back
Top Bottom