Tablet PC inahitajika

Tumsifu Samwel

JF-Expert Member
Jul 30, 2007
1,407
159
Habari zenu wanaJF nina shida na Tablet PC kwa jili matumizi ya mwanangu ambaye yuko chuo,nimejaribu kuulizia maduka yote hapa Kigoma bila mafanikio,hivyo nimeamua kufunga safari kuja Dar wiki ijayo,hivyo kwa mtu ambaye anajua zina patikana maduka gani hapo Dar anielekeze tafadhali ilinikifika nisisumbuke sana kuzitafuta,pia kama mtaniwekea na bei zake nitashukuru sana.
 
Kama huyo mwanao yupo Dar wewe hauna haja ya kwenda Dar maana yeye huyohuyo unaweza ukamwambia aende duka flani na pesa kisha anunue mwenyewe,
Dar maduka kibao wanazo ni pesa yako tu, kuna duka moja lipo Kariakoo kwa jina Midwest, lingine Ukifika Bigborn Kituocha Mafuta kwa mtaa wa pili lipo linaitwa RAM computer lingine mtaa wa Congo karibu na Offisi za Vodacom lipo duka Lingine la Wasomali pia.

Kwenye hayo maduka niliona wana Tablets pc nzuri sana Used ila bei yao ni ndefu ni kama m1 au 900,000/= Ni used lkn ni kama mpya speed nzuri hd 350GB ram 2GB, duo 2.8GHz N.K z blue tooth, Cam pen &OS Vista
 
Ninayo Dell mpya iko kwenye nylon toka Norway ila inabidi kubadili operating system kutoka lugha ya Kinorway kwenda Kiingereza. Ni European Brand nitakuuzia Shs 950,000/= na nitaibadili operating system mimi. Ukitaka kubadili mwenyewe nipe Sh 850,000/= kamili. John 0715 203386
 
Ndugu ThickPad,
nashukuru sana kwa maelekezo yako nadhani yatanisaidia sana,mwanangu hayupo Dar.
 
Ninayo Dell mpya iko kwenye nylon toka Norway ila inabidi kubadili operating system kutoka lugha ya Kinorway kwenda Kiingereza. Ni European Brand nitakuuzia Shs 950,000/= na nitaibadili operating system mimi. Ukitaka kubadili mwenyewe nipe Sh 850,000/= kamili. John 0715 203386

Ndugu John, tutawasilianan tuongee vizuri,ila ingekuwa vizuri ungenipa sifa za hiyo mashine yako.
 
Ni Dell Inspiron disc space 160 GB na speed 2.8 GHz. Size ya screen yake ni inchi 10.1
 
Habari zenu wanaJF nina shida na Tablet PC kwa jili matumizi ya mwanangu ambaye yuko chuo,nimejaribu kuulizia maduka yote hapa Kigoma bila mafanikio,hivyo nimeamua kufunga safari kuja Dar wiki ijayo,hivyo kwa mtu ambaye anajua zina patikana maduka gani hapo Dar anielekeze tafadhali ilinikifika nisisumbuke sana kuzitafuta,pia kama mtaniwekea na bei zake nitashukuru sana.

kaka mimi nina pc tatu mpya kabisa ni dell ram 512 screen inch 17 na ni 80GB procesor speed ni 3ghz bei nauza sh 650,000 kwa kila moja zipo kwenye maboksi na nailon contact me through 0755 571572
wahi manke zimebaki hizo tu mkuu
 
Ndugu taratibu na maandiko yako.

so sory...u know ulisound kumjali sana mwanao so nikajiweka kwenye position yako nikafananisha na mama yangu anavyonijali, am sory sana cathbertL ndo nimesoma jina lako sasa hvi....
 
Back
Top Bottom