Tablet inauzwa at the cheapest price ever

NAPSTAR

JF-Expert Member
Jun 29, 2011
767
12
Guyz nauza tablet aina ya mid android tablet inch 7 ina kamera,wifi<wireless internet > ,gps, 3g,browser , camcoder, antivirus,notepad , gallery na vinginevyo price yake ni laki na nusu<150,000> tu but but bei inapungua tablet hii ni used ....the main aim ya kuiuza ni ku-make enough money to buy an ipad.........picha yake hiyo hapo chini kwa anayetaka kuinunua ani pmView attachment 64378
 
Guyz nauza tablet aina ya mid android tablet inch 7 ina kamera,wifi<wireless internet > ,gps, 3g,browser , camcoder, antivirus,notepad , gallery na vinginevyo price yake ni laki mbili<200,000> tu but but bei inapungua tablet hii ni used ....the main aim ya kuiuza ni ku-make enough money to buy an ipad.........picha yake hiyo hapo chini kwa anayetaka kuinunua ani pmView attachment 64378

Mkuu nimeku pm
 
Hizi product zitakuwa na matatizo coz naona zinauzwa sana tena kwa bei chee kuna mtu mwingine amepost anauza kama hiyo kwa laki moja mpya
 
hamna sio mbovu hizi device huwa zinauzwa dukani at a price ranging 200-250k mi naiuza coz i wanna upgrade myself to ipad
 
Guyz nauza tablet aina ya mid android tablet inch 7 ina kamera,wifi<wireless internet > ,gps, 3g,browser , camcoder, antivirus,notepad , gallery na vinginevyo price yake ni laki na nusu<150,000> tu but but bei inapungua tablet hii ni used ....the main aim ya kuiuza ni ku-make enough money to buy an ipad.........picha yake hiyo hapo chini kwa anayetaka kuinunua ani pmView attachment 64378

inaingiza line??

haiingizi
Austin inakuwaje na 3G wakati huku unasema haina sehemu ya line?
 
Last edited by a moderator:
Guyz nauza tablet aina ya mid android tablet inch 7 ina kamera,wifi<wireless internet > ,gps, 3g,browser , camcoder, antivirus,notepad , gallery na vinginevyo price yake ni laki na nusu<150,000> tu but but bei inapungua tablet hii ni used ....the main aim ya kuiuza ni ku-make enough money to buy an ipad.........picha yake hiyo hapo chini kwa anayetaka kuinunua ani pmView attachment 64378
Vp hii Tablet bado ipo? 0655006401 or 0755006401
 
Guyz nauza tablet aina ya mid android tablet inch 7 ina kamera,wifi<wireless internet > ,gps, 3g,browser , camcoder, antivirus,notepad , gallery na vinginevyo price yake ni laki na nusu<150,000> tu but but bei inapungua tablet hii ni used ....the main aim ya kuiuza ni ku-make enough money to buy an ipad.........picha yake hiyo hapo chini kwa anayetaka kuinunua ani pmView attachment 64378

tembelea Global Adverts - Free Online Classified Ads ili kuweza kutangaza bidhaa yako bure
 
are u sure ni nzuri, juzi nilisaidia kuagizia wenzangu ofcn zilikuwa 4 from USA ilikuwa usd 76 kwa kila moja ohh wamekulaje mzinga! android hazikai na charge kabisa, wamekasirikaje!
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom