Tabirini hatma ya kiwango cha uchezaji cha mwanakandanda huyu!....

Haya mambo ya kawaida mbona kina Lampard,Gerrard kila siku fujo club
 
Haya mambo ya kawaida mbona kina Lampard,Gerrard kila siku fujo club
True that... Hawa jamaa wanapewa holidays nao wakajichanganye... Its only bad kama mtu anatandika pombe during the season, which also happen alot in England

I bet that Ronaldo is going to shine again... and continue with his sissy character as well!!
 
Ukitaka kujua tabia halisi ya mtu (the animal side of a human) mpe cheo kikubwa au pesa nyingi.
 
Back
Top Bottom