Tabirini hatma ya kiwango cha uchezaji cha mwanakandanda huyu!....

Teamo

JF-Expert Member
Jan 9, 2009
12,272
1,035
SNN1507A-280_824916a.jpg

RONALD_280x390_828286a.jpg







SNN1507A-280_824916b.jpg











wink.



Night out ... Ronaldo

Raffi/National Photo Group

SNN1903RONB_180_828053a.jpg

RONALD_280x390_828286a.jpg




SNN1507A-280_824916b.jpg





SNN1903RONB_180_828053a.jpg
Night out ... Ronaldo

Raffi/National Photo Group


“
 
Pombe sio chai jamani. Maradona alipopata mapesa mengi akawa mbwia unga mkuu na mpira ukaisha.
 
Aaahh kwani matumizi ya pesa ni yepi? ..Muacheni kijana ale jasho lake..maisha yenyewe mafupi...
 
Washabiki wa Man U mnatamani Ronaldo akienda Madrid asifunge goli hata 1.
Kijana yuko mapumzikoni, mda wote ligi ilikuwa imembana ni vzr akajiachia.
 
Aaahh kwani matumizi ya pesa ni yepi? ..Muacheni kijana ale jasho lake..maisha yenyewe mafupi...

Mtu alipwe pund 500,000 kwa mwaka....then aache kujirusha? Why.....I agree na we mkuu....wacha kijana ale raha duniani bana!
 
Mtu alipwe pund 500,000 kwa mwaka....then aache kujirusha? Why.....I agree na we mkuu....wacha kijana ale raha duniani bana!

Kweli mazee. Tena raha zenyewe anajipa mwenyewe kwa gharama zake..sasa tatizo linakujaje?
 
Namtakia maisha mema na fanaka yeye na familia yake popote aliko na vyovyote mola amlinde ili wanakandanda tuzidi kupata burudani siku zote.
 
Jamaa ameuliza utabiri hali ya kiwango chake.
Kiwangn chake kitashuka siku si nyingi bila kujali picha zilizowekwa na mtoa mada.
Ni kutokana na mfumo wa soka la MADRIDI
 
Jamaa ameuliza utabiri hali ya kiwango chake.
Kiwangn chake kitashuka siku si nyingi bila kujali picha zilizowekwa na mtoa mada.
Ni kutokana na mfumo wa soka la MADRIDI.kazi kwake
 

Kutokana na historia, wachezaji wachache sana wamewahi kupat mafanikio kwa kutoka ligi ya uingereza na kwenda kucheza hispania. Wengi uwa wanaishia kupoteza viwango vyao kama ilivyotokea kwa Owen na wengineo.

Tiba
 
Jamaa atafuata trend ya zidane at Madrid..... he has the talent and drive!!
 
..." 'mke' ushamuacha bado unamfuata fuata, wamtakia 'ni?" ...washabiki wa Man U bana, mwacheni dogo azifwaudu pesa zake, keshajenga jina huyo! :)

Too bad that na TEVES kaachia ngazi... naona mze wa ki-bubbly anarudi hatua mbili nyuma!!

YNWA
 
he he he..mambo ya mitungi, pamba na mikasi..kijana aangalie kuna kitu kinaitwa herpes..ni soo.

Mkuu, mitungi ya wapi? hebu watuonyeshe na picha za yule seremala kichaa rooney na bibi yake mlevi wa kuzimika baa!!

....To all manure fans, stop player hating.... Dont hate a playa, hate the game!!
 
Back
Top Bottom