Tabia zao.......

Eiyer

JF-Expert Member
Apr 17, 2011
28,258
20,708
Hizi ni tofauti za mitazamo za wanawake katika mahusiano kutokana na umri!15-20 Hawa wanapenda kujua utam wa mapenzi na aina tofauti tofauti za wapenzi,hawatulia,wanapenda masharobaro na wanashobokea macelebrate.21-26 Hawa wanapenda kujirusha,kutumia vilevi,hawamtaki mpenzi wa umri uteenage hapa hubadili mpenzi,wanapenda wapenzi wa chuo,wajuaji,wanapenda matanuzi na vitu vya gharama,wanajiona wanajua kila kitu.27-38 Hawa wametulia wanataka kuwa na familia,wasikivu,wanajiheshimu,hufikiri jambo kwa umakini,wanahitaji kuolewa na wanapenda kuzaa,ila kama hakufanya mambo ya ujana ,huyu kwenye umri huu huwa hafai kwani hujiona mdogo wa miaka 23,hao huitwa malimbukeni huyu hafai!39-45 Hawa wamekata tamaa ya kuolewa,wanajijali,wanataka kuzaa ila wengi hawapendi kuolewa,ni wachapa kazi,wanajihisi kupitwa na wakati,ni wazuri wanapoamua kuwa na familia.Wako yuko kwenye kundi gani?
 
:majani7::smiling::confused2::majani7::smiling::confused2::majani7::confused2::glasses-nerdy:
mbona sifa zinajirudia
 
:majani7::smiling::confused2::majani7::smiling::confused2::majani7::confused2::glasses-nerdy:
mbona sifa zinajirudia

Kuna makundi yanakuwa na tabia baadhi zinafanana na tabia za kundi lingine!
 
Kuna makundi yanakuwa na tabia baadhi zinafanana na tabia za kundi lingine!

15-20,21-26 wote wanapenda starehe,sema tu 15-20 wanabanwa sana na wazazi kwa hiyo wanakosa uhuru tu wakujiachia
 
15-20,21-26 wote wanapenda starehe,sema tu 15-20 wanabanwa sana na wazazi kwa hiyo wanakosa uhuru tu wakujiachia

Inawezekana lakini ni namba ndogo hivyo haiwezi kuchukuliwa kama tabia yao kwa ujumla wao
 
hivi starehe ni nini? manake kama nafurahia kusali na kusoma bible wakati wote inakuwa ndo starehe yangu,au sio?

15-20,21-26 wote wanapenda starehe,sema tu 15-20 wanabanwa sana na wazazi kwa hiyo wanakosa uhuru tu wakujiachia
 
Mungu aliumba kila mwanadamu na character yake kwahiyo sidhani kama upo right sana ila hiyo ni outline ambayo hutokana na watu ambao wanajidai kuwa wanawafahamu wanawake vizuri.kwa mtizamo wangu wanawake are very unpredictable
 
Kweli kabisa Dr
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom