Tabia za watu zinazonikera

Namba 8 kali aisee, na haya maradhi ya sasa kuna watu wa hivyo??
Siku moja nilikuwa zangu Hotel Traverntine pale Magomeni Mikumi basi likazuka zogo kwenye shoo ya Jahazi Modern Taarabu kisa bibie kavaa ya mwenzake na kutoka nayo wakati mwenye yuko bafuni anaoga.
 
Siku moja nilikuwa zangu Hotel Traverntine pale Magomeni Mikumi basi likazuka zogo kwenye shoo ya Jahazi Modern Taarabu kisa bibie kavaa ya mwenzake na kutoka nayo wakati mwenye yuko bafuni anaoga.

kumbe mkuu unapenda taarab?
 
Unashangaa nguo za ndani,
wakati kondom zinaingia kuna mkoa mmoja hapa tz
ilikuwa mtu akishanunua akaitumia anaifua na kuianika
then hata jirani anaweza kuja kuiazima na kwenda kuitumia
baada ya kutumia anaiosha na kuirudisha na mzunguko unaendelea
kama kawaida.

Hahaha umenikumbusha walikuwa wanasema NIAZIME KIFANYIO CHAKO
 
Mwanamke kufunga kanga kifuani na kukatiza nayo mtaani,mwanamke anae weka nywele za bandia a.k.a helment
 
Miye mtu wa Pwani ati. zama zile tulikuwa nao kina Farouk na Chakachaka zao kabla hawajapigwa marufuku!!

mwisho utanidanganya kuwa ushawashuhudia live kina Muhamed Ibrahim na kundi lao la Nadi Ikhwani Safaa ft. Siti binti Saad enzi zile za 1930's...
We nidanganye tu. Mimi nilikuta mzee Issa Matona anamalizia utamu wake, pia Patricia Hillary na Ally Star...
 
Nakerwa na mbaba mtu mzima tena ana kitambi kutoka nje na taulo au kitenge cha mkewe tena akiwa kifua wazi huku anapiga mswaki anaenda mpaka dukan huku anaongea yan angrrrr!!
 
Mdada kuomba lift ya gari, baada ya muda si mrefu miguu kuanzwa kutawanywa hadi kwenye dash board!
Mnaongelea jambo fulani then mtu mmojawapo anakurupuka: ''hii umeipata toka JamiiForums".
Tabia ya mtu kuchungulia text zako(giraffing) mkiwa safarini ktk bus.
 
Kula hovyo kwenye usafiri wa umma { mahindi,karanga}
Halafu Chocs uwe hujala lazima utapike, maana mahindi kwenye basi harufu yake kama Pombe ya Kindi ya Wanyakyusa!!
 
Last edited by a moderator:
Wife Chocs hebu njoo faragha chap uonapo hii post....mumeo nakungoja faster...!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom