Tabia za watu zinazonikera

Kigarama

JF-Expert Member
Apr 23, 2007
2,492
1,230
Aisee mimi kama bin Adam hzi tabia kwa kweli zinanikera sana...

1. Kuchungulia mtu anaoga bafuni

2. Kusoma SMS inayoandikwa na mtu asiyekuhusu wala hamjuani

3. Kujitapa kwa vitu usivyokuwa navyo kama vile kujidai umesoma au unamiliki gari wakati siyo

4. Mtu kukataa asili yake au kukana ndugu zake

5. Wapenzi wanaosimulia kwa wengine jinsi walivyofanya ngono na wenzi wao usiku uliopita

6. Mgeni kuwasha TV au kufungua friji bila ya kuruhusiwa na mwenyeji wake

7. Watu wanaoongea mambo yao binafsi ya mahusiano kwenye usafiri wa Umma

8. Watu wanopenda kuvaliana nguo za ndani au kuazimana nguo na viatu

9. Wenzi wanaopiga mayowe wakati wa ku..do ilhali wanajua wanaishi kwenye nyumba isiyo na dari

10, Watu wanaoporomosha matusi hadharani bila ya kujali hadhira iliyopo mchanganyiko wake ukoje.

Kama na wewe una tabia kama hizi tafadhali sana USINIKWAZE!!
1.Kukojoa halafu ukimaliza unamsalimia mtu kwa mkono.

2. Kuingiza kidole puani halafu unampa mtu mkono.

3. Kutoa makohozi wakati wa kula.

4. Kusimulia movie wakati wenzako wanaitazama mara ya kwanza.

5. kubeep beep kila mara.

6. Kudanganya kwenye simu, niko hapo nakuja kumbe ndio unatoka home.

7. Kukaa siti ya nyuma na kuanza kuweka mikono mbele kwa mtu aliyekaa siti ya mbele.

8. Kuuliza uliza nyakati kila mara, " sasa hivi ni saa ngapi??, sasa hivi ni saa ngapi?? bado dakika ngapi?? "

9. Kutembelea wenzako nyakati za msosi. Ikifika saa sita tu tayari ushafika, halafu stori nyingi, huondoki tu tule.

10. Kukojoa bara barani.

asilimia kubwa ya wabongo tuna hizi tabia zinakera
 
Aisee mimi kama bin Adam hzi tabia kwa kweli zinanikera sana...

1. Kuchungulia mtu anaoga bafuni

2. Kusoma SMS inayoandikwa na mtu asiyekuhusu wala hamjuani

3. Kujitapa kwa vitu usivyokuwa navyo kama vile kujidai umesoma au unamiliki gari wakati siyo

4. Mtu kukataa asili yake au kukana ndugu zake

5. Wapenzi wanaosimulia kwa wengine jinsi walivyofanya ngono na wenzi wao usiku uliopita

6. Mgeni kuwasha TV au kufungua friji bila ya kuruhusiwa na mwenyeji wake

7. Watu wanaoongea mambo yao binafsi ya mahusiano kwenye usafiri wa Umma

8. Watu wanopenda kuvaliana nguo za ndani au kuazimana nguo na viatu

9. Wenzi wanaopiga mayowe wakati wa ku..do ilhali wanajua wanaishi kwenye nyumba isiyo na dari

10, Watu wanaoporomosha matusi hadharani bila ya kujali hadhira iliyopo mchanganyiko wake ukoje.

Kama na wewe una tabia kama hizi tafadhali sana USINIKWAZE!!

Kigarama hiyo namba nane mbona ni ngumu kuamini
Kuvaliana nguo za ndani?
 
Ipo yaani mtu anakwenda kwa mshikaji akilala akiamka tayari Underwear ya mwenzake iko mwilini!! Na hiii haina jinsia bali zote mbili, KE na ME.
 
mtu anayesema kudip badala ya kubeep ndani ya daladala..
halafu jitu jingine linaongea kwenye simu kwa mikelele utadhani ugomvi ndani ya usafiri wa umma..aaaagggghhh
washkaji wanaojitangazia nimeshamt*a dem flani wakati sio
 
Kigarama hiyo namba nane mbona ni ngumu kuamini
Kuvaliana nguo za ndani?

Unashangaa nguo za ndani,
wakati kondom zinaingia kuna mkoa mmoja hapa tz
ilikuwa mtu akishanunua akaitumia anaifua na kuianika
then hata jirani anaweza kuja kuiazima na kwenda kuitumia
baada ya kutumia anaiosha na kuirudisha na mzunguko unaendelea
kama kawaida.
 
{1.}kufanya kghaaa kghaaa na kutema twaa kohozi zito la njano mbele za watu {2.} kuchokonoa chokonoa meno mbele za watu huku lijitu limefungua mdomo kama mamba
 
Nakerekaga
1. Tabia ya mtu kupanda kwenye daladala huku kavaa vest na hajanyoa jikwapa lake halafu umkute kasimama kashikia bomba
2. Kutoa hewa chafu kwenye mjumuiiko wa watu wengi
3. Kupenga makam**i kwa mkono halafu mtu anajifutia nguoni au anafikicha mikono... Majitu kama haya huwa ya kwanza kutoa mkono yakikutana na watu
 
11. Tabia ya kuingiza vidole puani na kuvitoa kuvilamba mdomoni.
eww. Hao ni watu wazima au watoto wa chekechea?

8. Watu wanopenda kuvaliana nguo za ndani au kuazimana nguo na viatu

Kama na wewe una tabia kama hizi tafadhali sana USINIKWAZE!!
Hivi kweli mwanaume anaweza kuvaa undie ya kike comfortably. sipati picha. Nguo nyingine sio issue kivile if it's occassional, hata mie nimeazima shati la besty wangu wakati zangu hazijakauka at UD.
for me nakerwa mtu
-asipo keep time
-akitoa ahadi za uongo.

Aisee mimi kama bin Adam hzi tabia kwa kweli zinanikera sana...

1. Kuchungulia mtu anaoga bafuni

2. Kusoma SMS inayoandikwa na mtu asiyekuhusu wala hamjuani

3. Kujitapa kwa vitu usivyokuwa navyo kama vile kujidai umesoma au unamiliki gari wakati siyo

4. Mtu kukataa asili yake au kukana ndugu zake

5. Wapenzi wanaosimulia kwa wengine jinsi walivyofanya ngono na wenzi wao usiku uliopita

6. Mgeni kuwasha TV au kufungua friji bila ya kuruhusiwa na mwenyeji wake

7. Watu wanaoongea mambo yao binafsi ya mahusiano kwenye usafiri wa Umma

8. Watu wanopenda kuvaliana nguo za ndani au kuazimana nguo na viatu

9. Wenzi wanaopiga mayowe wakati wa ku..do ilhali wanajua wanaishi kwenye nyumba isiyo na dari

10, Watu wanaoporomosha matusi hadharani bila ya kujali hadhira iliyopo mchanganyiko wake ukoje.

Kama na wewe una tabia kama hizi tafadhali sana USINIKWAZE!!
12.Kwenda bar wakati huna kianzio.
 
Hiyo namba 7 inakera sana, sijui wanaonaga sifa.

Stimes mtu unatamani ushuke kwenye basi utembee kwa mguu
 
{1.}kufanya kghaaa kghaaa na kutema twaa kohozi zito la njano mbele za watu {2.} kuchokonoa chokonoa meno mbele za watu huku lijitu limefungua mdomo kama mamba

limefungua mdomo kama mamba teh teh teh tehhh!!
 
Back
Top Bottom