Tabia za members wa JF

Wana JF,

Kuna tabia tofauti tofauti humu JF, za Members!
Kama wewe ukiwa mdau wa JF, Members gani wanakuvutia kwa tabia zao nzuri. Na Members gani upendezewi na tabia zao!
Mimi binafsi Members wanaonivutia kwa tabia zao.
Katavi, Sweetlady, wewe je endeleaa
me cpendezwi na hyo avatar yako!
haijabeba uafrika kabisa nadani yake.
wani afrika kuna mabaya tu??
 
me cpendezwi na hyo avatar yako!
haijabeba uafrika kabisa nadani yake.
wani afrika kuna mabaya tu??
Mkuu unataka niweke avatar ya watu wanakunywa bia na mbuzi? kwani hayo mambo waafrika wamesingiziwa? ndio zao la viongozi wetu wa africa
 
Wapi wewe!umechemka,utamjuaje mtu kwa hoja za humu jf?
Mkuu, nadhani wewe bado mgeni humu jamvini, ukikaa miezi miwili utaanza kuzijua tabia za members humu JF!
Au nakushauri uanze kwenda jukwaa la siasa ukapandike hoja zako utajua members wana tabia gani
 
Wapi wewe!umechemka,utamjuaje mtu kwa hoja za humu jf?


mkuu kuna uwezekano mkubwa sana wa kujua tabia ya mtu via anachoandika hapa
rosemarie anaonekana kama mwanamke mwenye misimamo na ni ngumu kupata bwana
 
Wanani vutia wadada / wanawake
Wote....

Genekai asante..
Katavi sante kwa kuwakaribisha
Wageni..... Nakuheshimu sana kwa hilo..
 
Back
Top Bottom