Tabia ya mabinti kuwafanya Boyfriends zenu baba or walezi wenu

halafu upande mwingine mnasimama mnataka usawa! sijui usawa wa aina gani?
siyo wote mafeminist mkuu, wengine tuna enjoy kuhudumiwa, occasionally unahudumia na wewe, hata kama vipato ni sawa lakini tuna save kwaajili ya rainy days.
 
Ukipata Mchaga, Muhaya Au Muhehe ndio utakoma. Wanachuna kweli duh!
Si kwamba anakuchuna inategemea wewe wakat unamtongoza ulimwaga sera zip pia kama unajionesha kuwa ww unazo kwa nn asikuombe mpenz jaman!!!!!1
 
Vigezo na masharti kuzingatiwa nalelewa natunzwa nadeka nadekezwa vyovyote itakavokuwa na nasikia raha sana,,wanaojihudumia waendelee coz wengine tushazoea kutunzwa ati, miaka yoooote leo ndio niibuke eti sitaki matunzo hata mwenyewe atafikiri vibaya,
 
Kama mnapendana kweli na mna malengo mnaweza kusaidiana pindi mmojawapo anapokuwa na tatizo bila kujali upande wa mwanamke au mwanaume. Lakini kitendo cha kumwachia mmoja majukumu yote hapo mapenzi hayapo ni utapeli tu coz pindi utaposhindwa kumpatia kila anachotaka ni lazima amtafute wa kumpatia hicho ulichoshindwa kumpa
 
Hayo ndugu zangu ni matatizo ya malezi wanayopewa hawa mabinti kwao. Nakumbuka nikiwa mdogo mama yetu alitulea kuwa ni MARUFUKU kuomba ela kwa mtu yeyote zaidi ya wazazi. Lakini nilikuwa nashangaa kuna mtoto wa jirani yetu kabinti kazuri na kwao mambo safi, yani yeye alikuwa ni kama wimbo "SHIKAMOO NAOMBA ELA" hata kwa wapita njia wazazi wake badala ya kumpa kichapo wanakenua tu. Sijuhi sasa hivi yuko wapi but am sure atakuwa sampuli hizo za kufanya wanaume ATM.

Tuwalee watoto wetu kuwa independent otherwise watatumiwa na wanaohonga magari MEKUNDU.
 
inategemea aina ya wasichana mnaowatongoza.wengine mnawatongoza kwa ajili ya game tu,na wao wanaona bora wajinufaishe mapema.au wengine mkitongoza mnajisifia tuuuu,wakati uwezo huna ni kama gia tu ya kuingilia.msiwalaumu,makosa ni yenu wenyewe.
 
Mkuu siku hizi watoto wa kishua ndo wanawahonga boys,so ukiona wa aina hiyo we jitenge tu mapema halafu wasichana wajanja hawana time na za kuomba hela za wanaume.Unakuta anakuomba wewe hela za saloon halafu akipendeza anaenda kufanya love na mwingine
 
Duh! poleni dadazetu kwa kupenda kuishi maisha ya Maria Sarapova while nyie chokest tu! wengine waliozaliwa vijijini mmmmmh! ndio usiseme! hata kutaja kwao hawataki na wanajifanya hawapandidaladala eti njoo unichukue na ur private Car . . . Mara naomba hela ya Salon, nataka kwenda Zanzibar,tukatembelee Serengeti mmmh! wavyuoni ndio balaaa wanataka uwalipie ada pia na hela za matumizi juu! je hamna wazazi or walezi wenu? hela za bodi ya mkopo mwapeleka wapi?Msiwasumbue Boyfriends zenu kwani kama ni mapenzi mna-share wote the sameNaomba kuwasilisha . . .
eeeeeh yamekua hayo bro vipi yamekukuta tena ama?
 
Hahahahaaa!! Umenichekesha sana na umegusa kwenye nyoyo za wadada wengi. Mabinti wa siku wanataka kukufanya wewe ndo Mzazi, ATM, Kaka, Dada na kila kitu!! Mabinti acheni kuanika njaa zenu kias hicho pls muwe kama PANYA!!!!
Hahaa dogo usinianbie someone is baba you.
 
Nyie wenyewe wakati wakutongoza mnajifanya DON KING kumbe hakuna lolote, mnalaamika nini sasa, hudumia mgodi si ulileta kujua bana.
 
Dear Mothers.
Please hug your sons when they're young. And show them you love them.
Sincerely.
 
Kuhonga ni kawaida ila unapopewa shida za aina nyingine, zinainvite maswali kuwa huyo mpenzi alikuwa akihudumiwa na nani na kama usingemtongoza, ni nani ambae angepewa hilo jukumu? Kutoa hela ni kawaida, ila wakati mwingine mwombaji ajue namna ya kuomba, vingine vinaleta maswali.
 
Back
Top Bottom