Tabia ya mabinti kuwafanya Boyfriends zenu baba or walezi wenu

Zechie

Member
Jun 13, 2011
25
4
Duh! poleni dadazetu kwa kupenda kuishi maisha ya Maria Sarapova while nyie chokest tu!
wengine waliozaliwa vijijini mmmmmh! ndio usiseme! hata kutaja kwao hawataki na wanajifanya hawapandi
daladala eti njoo unichukue na ur private Car . . . Mara naomba hela ya Salon, nataka kwenda Zanzibar,
tukatembelee Serengeti mmmh! wavyuoni ndio balaaa wanataka uwalipie ada pia na hela za matumizi juu! je hamna wazazi or walezi wenu? hela za bodi ya mkopo mwapeleka wapi?
Msiwasumbue Boyfriends zenu kwani kama ni mapenzi mna-share wote the same
Naomba kuwasilisha . . .
 
Kuna mmoja ananiambia luku ya nyumbani kwao imeisha nkamwambia nenda kwenye kituo cha kuuzia mbona zipo! Amenuna simu hapokei,hajui nami ndo nnsepa zangu!
 
Hahahahaaa!! Umenichekesha sana na umegusa kwenye nyoyo za wadada wengi.
Mabinti wa siku wanataka kukufanya wewe ndo Mzazi, ATM, Kaka, Dada na kila kitu!!
Mabinti acheni kuanika njaa zenu kias hicho pls muwe kama PANYA!!!!
 
Atajuaje kuwa unamjali? Kama wewe kwenye kumtokea ulimwambia ni 'kigogo' magogoni ulitegemea nini?
 
Matatizo ya kutokujua maana ya kupenda ndo haya!Vurugu hazitaisha milele!
 
Kuna mmoja ananiambia luku ya nyumbani kwao imeisha nkamwambia nenda kwenye kituo cha kuuzia mbona zipo! Amenuna simu hapokei,hajui nami ndo nnsepa zangu!

haaaah haaaahh huyo ni kiboko!!!!!!! teh teh.... tena usikute mpo wengi halafu kila mtu kapangiwa jukumu lake... mwingine ataambiwa alipie bill za maji!!!!!!!!
 
Duh! poleni dadazetu kwa kupenda kuishi maisha ya Maria Sarapova while nyie chokest tu! wengine waliozaliwa vijijini mmmmmh! ndio usiseme! hata kutaja kwao hawataki na wanajifanya hawapandidaladala eti njoo unichukue na ur private Car . . . Mara naomba hela ya Salon, nataka kwenda Zanzibar,tukatembelee Serengeti mmmh! wavyuoni ndio balaaa wanataka uwalipie ada pia na hela za matumizi juu! je hamna wazazi or walezi wenu? hela za bodi ya mkopo mwapeleka wapi?Msiwasumbue Boyfriends zenu kwani kama ni mapenzi mna-share wote the sameNaomba kuwasilisha . . .
This is too much for them ladies mkuu! Inasound kiudhalilishaji vile,kama ipi treat wa kwako hivyo na umweleze haya yote lkn as a man huwezi kuwa sawa na mwanamke in every aspect,mimi niko proud nikiwajibika,lets give them break at least
 
Kuna mmoja ananiambia luku ya nyumbani kwao imeisha nkamwambia nenda kwenye kituo cha kuuzia mbona zipo! Amenuna simu hapokei,hajui nami ndo nnsepa zangu!

Safety last
Waaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaay to go man!!!!Kwanza thank you for cracking me up, na pili congrats for standing your ground!!!!
 
pamoja na break kuwapa, lakin ukweli tuwaeleze jamani...
nliwah kuwa na msichana flan ambaye ni muajiriwa(on study leave) na ni mwanafunzi wa chuo mkopo 100%...sasa kila wakat ananiomba hela mara ya vocha mara ya kula mara ya saluni mpaka nikachoka.
nikabidi nimuulize, hivi ww si unapokea mshahara? na pia si unapata hela ya kujikimu na bodi ya mikopo? na huna majukumu yoyote nnayoyafaham? sasa kwa nn mahtaj yako yote unaniambia mm?
jikate zako usepe.
 
This is too much for them ladies mkuu! Inasound kiudhalilishaji vile,kama ipi treat wa kwako hivyo na umweleze haya yote lkn as a man huwezi kuwa sawa na mwanamke in every aspect,mimi niko proud nikiwajibika,lets give them break at least
Yaaani wewe uko juu, lazima mwanaume ajulikane na mwanamke ajulikane
 
Jamani ukimfuata binti kwa ajili ya kumtumia, akikutumia na wewe usilalamike.
Maana kuna mtu unajua kabisa unamtaka kwa mda then unasepa, hapo ukubali kutumiwa na kulipa invoice zote anazokuletea.
 
Duh! poleni dadazetu kwa kupenda kuishi maisha ya Maria Sarapova while nyie chokest tu!
wengine waliozaliwa vijijini mmmmmh! ndio usiseme! hata kutaja kwao hawataki na wanajifanya hawapandi
daladala eti njoo unichukue na ur private Car . . . Mara naomba hela ya Salon, nataka kwenda Zanzibar,
tukatembelee Serengeti mmmh! wavyuoni ndio balaaa wanataka uwalipie ada pia na hela za matumizi juu! je hamna wazazi or walezi wenu? hela za bodi ya mkopo mwapeleka wapi?
Msiwasumbue Boyfriends zenu kwani kama ni mapenzi mna-share wote the same
Naomba kuwasilisha . . .

Dah unanikumbusha mbali mkuu,

Kuna demu mmoja aliniambia anaomba nimpe 1Mill, nikauchuna kimyaaa, kaanza kunichombeza na sms za malavidavi mara sweet, baby, honey n.k

Nikaona huyu anajidai mjanja kuhimiza nimpe hiyo pesa, nikamtolea uvivu. Nikamwambia achukue Card yake ya ATM , ya CRDB Bank aende pale mlimani city ndipo ATM machine za kila benk zipo pale, akadraw kiasi hiyo 1M coz mie sio ATM mashine yake ya kutolea pesa.

Amini usiamini mkuu hadi hiii leo kimyaaaaaa no miscall no sms no swtyheart, honey wala nini! Hawa watoto wa siku hizi vimeo balaaaa usipime waogope kama ukomaaaa wapo kiuchumi zaidi na wanataka kututumia wanaume tu kwa kutuchuna!

Nawasilisha!
 
Yaaani wewe uko juu, lazima mwanaume ajulikane na mwanamke ajulikane

Kwa hiyo bi-dada unataka kusemaje? kuwa nyie mpo kwa ajili ya kuchuna wanaume au? I mean nyie always ni watu wa kutumiwa na wanaume na kuwachuna hela ndio malipo yenu baada ya kutumiwa si ndio?

Ahaaaaa sasa nimeelewa kuwa mwanamke hata aelimike vipi na hata awe na mamilioni lakini akitongozwa tu na mwanaume au kumtaka kimapenzi ni lazima ulipe fadhila kwa kumhudumia/ kumlipa coz ya kumfanya ki.tanda.ni hata akiwa rais wa nchi au profesa bado atataka apewe hela au kulipiwa invoice zake zote mhmhmh poleni sana!
 
Back
Top Bottom