Tabia ya kushika / kuchungulia simu za waume / wake zenu muache!! Ohooooo

lara 1

JF-Expert Member
Jun 10, 2012
15,700
29,111
Amani kwenu wakuu! (Wakubwa Shikamooni)

Leo ujio wangu si wa Verse moja nyingi Baba V LOL!

Kweli ile tabia ya kuperuzi na udadisi simu za patner wenu muache!!! Tena unakuta mtu anatime mwenzie anaoga anafanya thera checkup ya simu kuanzia inbox, outbox, call log, sms counter(incase zilifutwa), emails na call time summary. Hapo unakuta kakunja nne kabisa, kinotebook mkononi na juisi pembeni, kwa raha zake.

Mwenzenu Mamushka mmoja lilimkuta la kumkuta kati kati ya kuperuzi na kudadisi, Mumewe kufika kaingia chooni, yeye si akazama kunako koti na kukitia kilongalonga kunako 18 zake maoja kwa zote kwenye sms si ndo kukuta huu ujumbe!!!!

"BWANA MKWE FANYA UTARATIBU UTAFUTE NJIA ZA KIDIPLOMASIA KUMWAMBIA MKEO KUWA MAMA YAKE AMEFARIKI GHAFLA LEO MCHANA HUKU KIJIJINI, NA MFANYE UTARATIBU WA KUJA MAZISHINI!!!! UTAFUTE UJANJA WA KUMWAMBIA SABABU ANA PRESSURE KALI SANA YULE SI UNAJUA, HATA SISI HATUJAMWAMBIA NDO TUNAKUTEGEMEA!!!!"

Kilisikika kishindo tu cha Mtu kudondoka na pressure!!!!

SMTMS ITS NOT WORTH IT!!!!!.
 
Last edited by a moderator:
Kama mlikubali na kuapa mbele ya kasisi kuwa mu-mwili mmoja mnashindwa nini kushare simu zenu?! What is the mission behind?!

Mda mwengine ndo kama hivo, jambo hukutakiwa kulijua ndo walijua hivoooo!!!!
 
am in favour of all ladies ambao wanacheki simu za waume zao....wanaume tuwe wakweli tuu kama unataka kuwa na mke basi kuwa open na dealings zako sio tunaficha mabaya yetu.
 
Amani kwenu wakuu! (Wakubwa Shikamooni)

Leo ujio wangu si wa Verse moja nyingi Baba V LOL!

Kweli ile tabia ya kuperuzi na udadisi simu za patner wenu muache!!! Tena unakuta mtu anatime mwenzie anaoga anafanya thera checkup ya simu kuanzia inbox, outbox, call log, sms counter(incase zilifutwa), emails na call time summary. Hapo unakuta kakunja nne kabisa, kinotebook mkononi na juisi pembeni, kwa raha zake.

Mwenzenu Mamushka mmoja lilimkuta la kumkuta kati kati ya kuperuzi na kudadisi, Mumewe kufika kaingia chooni, yeye si akazama kunako koti na kukitia kilongalonga kunako 18 zake maoja kwa zote kwenye sms si ndo kukuta huu ujumbe!!!!

"BWANA MKWE FANYA UTARATIBU UTAFUTE NJIA ZA KIDIPLOMASIA KUMWAMBIA MKEO KUWA MAMA YAKE AMEFARIKI GHAFLA LEO MCHANA HUKU KIJIJINI, NA MFANYE UTARATIBU WA KUJA MAZISHINI!!!! UTAFUTE UJANJA WA KUMWAMBIA SABABU ANA PRESSURE KALI SANA YULE SI UNAJUA, HATA SISI HATUJAMWAMBIA NDO TUNAKUTEGEMEA!!!!"

Kilisikika kishindo tu cha Mtu kudondoka na pressure!!!!

SMTMS ITS NOT WORTH IT!!!!!.

this one is enough for me to sleep goodnight lara 1 see yoo later
 
Umenifurahisha sana leo!
Somo liko tyt kweli,
But ni muhimu sana kujua kinachoendelea kwenye simu ya mwenzi wako
What if huo ujumbe ungekua unatoka kwa mamake mzazi kwenda kwa mmewe akimshukuru kwa kumkuna vzr?
si angezimia pia!!

Mi naona easy 2
na ni mpekuzi mzuri tuu!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom