Tabia ya kuchungulia wallet...

kila kitu bebi unikabidhi....si unajua jinsi unavyopotezaga ukilewa...

na hilo ndio tatizo langu la kila siku...cjui wahudumu huwa wanabeba kunihifadhia ila wanasahu kunirudishia..nina mpango pia wa kukabidhi kale kavitz maana nakagonga sana
 
hi hi hi....bebi bwana...wanakugonga shauri vitz ipo chini chini....nunua kuna ile ford fulani hivi kubwa kubwa...ukinikabidhi hiyo ndo hawatatugonga....
 
mh...sio Ford bana..ni... Nisan Xtrail...ila..ile subiri kwanza nimekodisha kwa mdhungu
 
Waswahili wambea aisee, wallet, simu lazima watupie vijicho pembe.

kwa wallet haswa wadada wanataka kuwa na uhakika wa maisha yao kwa wakati ule,au kutafta namna ya kuanza kutangaza shida...mm ntachoma kidole jicho la mtu...sitaki kabsaaaa!
huko kwenye sim ndo sipendi!nimeweka password mpaka PHONEBOOK!ndio ivo!
 
kwahiyo umeona wa kutangaza shida wadada tu? Shem tutake radhi kabla hatujaandamana.
 
Back
Top Bottom