Tabia ya kuchungulia wallet...

Boflo

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
4,384
4,408
Hivi kwa nini wabongo wengi wana tabia ya kuchungulia wallet? Ninasema haya kwa sababu yameshanitokea sehemu nyingi, kama ukienda saloon(kiume au kike) ukitoa wallet kama unataka kulipa utaona watu wanachungulia wallet yako, wakiona manoti yamejipanga, utaanza kuambiwa naomba chenji??, au utaona Janadume zima linajipendekeza kwako na kuanza kujichekesha chekesha na kukusifia, hata ukienda bar, shopping centre, ukitoa wallet ilonona, utaona mijitu inakodoa macho utadhani wanalenga manati !! Hii tabia si nzuri tujirekebishe jamani, hii tabia ndiyo inayosababisha Wanawake wengi kumegwa kirahisi na Wanaume kuwa si rizki.
money.jpg
 
View attachment 49206

Hehe heeeeeeee Boflo umenichekesha sanaaaaa, unachoongelea kina ukweli ndani, hii yote inatokana na njaa
 
Mi sitembei na wallet nabebaga mfuko wa rambo umejaa njuru tupu .
 
Mwanamme wallet babu
nani anataka mwanamme shati?

Samahani mkuu, nimekua nikitatizwa na uchangiaji wako humu jf, kuna wakati hua unachangia hoja kama wewe ni jinsia ya kike na kuna wakati mwingine kama jinsia ya kiume. Nipe ufafanuzi japo niondokane na utata huu.
 
Mambo hayo ni muhimu kwa mwanamme wa kisasa, mwanamme sharti awe na madoido,

Kijiji unachotoka kinaitwa Baliyabambashi au?

Boflo kwani hujui kusoma? Kinaitwa Ikungulyabashashi. Hebu jaribu kutamka hilo jina kwa sauti.
 
hahahahaaa hatakama hujasalimiwa mlivyopishana mlangoni, ikichunguliwa wallet utasalimiwa dodii
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom