Tabia mbaya ya mashoree wa kibongo facebook

Yo Yo

JF-Expert Member
May 31, 2008
11,217
1,702
Mie nashangaa kabisa.....yaani hawa mashoree wa kibongo hovyo kabisa kwa sasa kuna tabia mbaya sana ya wao kuweka picha zao zisizo na maadli facebook.....yaani siku hizi facebook ni sehemu ya kuanika viungo vyao hadharani.....

Inasikitisha sana aisee.....ndio maana wanawake wa kibongo rate ya kudharaulika na kupewa majina ya kebehi na dharau ineongezeka nowadays....jirekebisheni
528607_2877979347819_1210054533_40740339_612231608_n.jpg.jpg
 
Imagine jidada kama huyo kajiachia hivyo hivyo....
 
Imagine jidada kama huyo kajiachia hivyo hivyo....

ndo poa hivyo mkuu unakuwa hununui mbuzi katika gunia kama zamani katika simu unatokea kwa kuvutiwa na sauti!siku hizi unathaminisha maumbile facebook kabla hujaenda kutupia!!!!
 
...acha wajiachie km rules za fb zinamruhusu...huku kwetu hawapo!..
 
Si wanakaribisha watalii waje bongo?

Waache wajinafasi. Ngojea faida wafikapo watalii.
 
Hakika huyu ni mbuzi wa maziwa.

Huyu ni mama yetu, na haya ni maziwa yake, kaobeli awa miliki.
 
...acha wajiachie km rules za fb zinamruhusu...huku kwetu hawapo!..

BAGAH,
Mimi nina comment tofauti na majority yenu mliochangia huu uzi .
Tuchukulie Y O Y O mleta mada yeye haikuipenda hii image , ameichukulia as a pono,
sasa ameitoaje kule ufiraunini Fcbk na kuja kui'plant huku ?
Hii haifanani na ile mtu amwambie mtu kamwambie Baba yako " K nina" then mtu huyo akenda mwambia kweli Babaake tusi alilotumwa ! Hivi hamsikiagi msemo wa mtaani "Tusi halitumwi ?"
Au Baba ukifumania movie za Pono (Pilau) kwenye phone ya mwanao , then ukaenda kumshataki mwanao hadi kwa Bibi yake (mama yako we Baba)
huku ukimuonesha Bi. Mkubwa huyo hiyo mipicha ya Pilau !
Sahihi ?
 
Mkuu ebu niatachie huyo mdafada kwenye PM naona chakula ya mtoto wake ipo muruuuaa sana,naona pix wameitoaa!
 
Hee!
Kuna nini tena?
Picha si tumeiona? Mbona imedisapia suddenly !
Imiibiwa au ?
 
Back
Top Bottom