Tabia hizi tuache

Pure nomaa

JF-Expert Member
Dec 10, 2011
1,158
1,382
Wakubwa wakati tunaelekea kufunga mwaka na kuanza mwaka mpya nisingependa kuona tabia hizi tunaingia nazo mwaka mpya,
kumnunulia demu chips kuku halafu we unaenda kula mihogo

kumnunulia demu bia halafu we unakunywa soda kisa eti upo kwenye dozi

kumnunulia demu simu mkiachana unampokonya

kumgharamia demu kwa kila kitu ukimuomba mzigo anakwmbia eti mpaka muoane

demu anakuomba umnunulie blackberry wakati we mwenyewe unaitamani na uwezo huna

demu kukuomba vocha ukimtumia hathubutu kukupigia

wakubwa naomba kutoa hoja
 
Una umri gani?kama ni mwanafunzi kazana na masomo kwanza mengine utayakuta tu.
 
utaendelea kuwa mshika pembe tuu maziwa wanakamua wengine
 
Wakubwa wakati tunaelekea kufunga mwaka na kuanza mwaka mpya nisingependa kuona tabia hizi tunaingia nazo mwaka mpya,
kumnunulia demu chips kuku halafu we unaenda kula mihogo

kumnunulia demu bia halafu we unakunywa soda kisa eti upo kwenye dozi

kumnunulia demu simu mkiachana unampokonya

kumgharamia demu kwa kila kitu ukimuomba mzigo anakwmbia eti mpaka muoane

demu anakuomba umnunulie blackberry wakati we mwenyewe unaitamani na uwezo huna

demu kukuomba vocha ukimtumia hathubutu kukupigia

wakubwa naomba kutoa hoja

Sorry,ulisahau hizi hapa..

- kumpandisha beibe taxi wakati kidume unapanda daladala..
- Kung'ang'ania kumfanyia beibe birthday party halafu baada ya party unakuwa na madeni mpaka unauza vitu vya ndani kwako..

-
 
mi wananishangaza
hata sie tulivumilia tumepata kazi ndo tunahonga
na hatuhongi hata 5% ya kipato chetu
tuna majukumu mengine
na bado twajilia vinono vinavyojua kuoshwa

tunaogharamia tutakula vya Mbezi Beach, Mikocheni, Masaki...
 
Hizo tabia wanafanyiwa wajingawajinga. Siku zote wajinga hawaishi.
 
Back
Top Bottom