tabia gani

Ukuni wangu ukipata hamira, nahitaji utendewe haki soon!
Mambo ya kupangiwa mgao kama umeme wa Tanesco kwangu nishaTUPA kulee!
Sijui nayo ni tabia mbaya au nzuri !
Mimi sijui.

hahaa! nayo ni tabia. na tabia hujenga mazoea.
 
Charminggirl acha tu.
Me binafsi nilikuwa na tabia ya kuvua nguo zote na kubaki nkd,then nachukua kioo cha bi Mkubwa(R.I.P) nakilaza chini then namwita mdogo wangu ili anichore umbo langu nikiwa nimelala chali juu ya kioo.
Akishanichora,nachukua mchanga najaza ndani ya lile umbo langu.
Yani huwa nikikumbuka najiuliza marambilimbili au nili-kuwa half chzi au?
Utoto acha tu.

dah,hyo kali ya kudumbukiza mchanga. vp ulikuwa huon aibu kuwa naked kw
https://www.jamiiforums.com
 
Last edited by a moderator:

bby, usiseme kila kitu sasa
 
Last edited by a moderator:
heri yako umeweza kuacha, me mpaka leo natafuna kucha, na wanangu wote nao wanatafuna kucha, ila nawadhibiti waache mana wacje wakakua na hyo tabia wakaendelea nayo.

dah,pole. may b ujitahd kuwa na pipi au big g mfukona ukihc hamu ya kutafuna kucha unazitafna. me nlifanyaga hvo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom